Tunaofuatilia Series ya Loki tukutane hapa

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
965
1,689
Ndugu zangu wapenzi wa mfululizo wa movie za Marvel na super heroes hizi sasa tuna hii series mpya ambayo mpaka naandika andiko hili zipo Episode 5 season ya kwanza.

Na imebaki Episeode moja kukamilisha Episode 6 ambayo ndio itakua ya mwisho kwa Season one.

Tunaweza kujadili hapa story ,critics na poa za series hii.

FB_IMG_1626174730711.jpg
 
Huyu loki tumepigwa loki gani anapenda mademu
Hahahaha ni loki mwenzake yule ....infact loki anataka kua loyal aweke mambo sawa maana kaelewa huu mchongo sip wakitoto....ni chain over chain yuko TVY huko saizi
 
Hii seríes akili kubwa sana imetumika. Nilikua kilia J5 naisubiria nilidhani niko mwenyewe mpenzi wa series za marvel.
August 11 What if...? Naisubiria. I can't wait I can't wait (In supreme leader General Aladeen's Voice😅😅)
 
Hii seríes akili kubwa sana imetumika. Nilikua kilia J5 naisubiria nilidhani niko mwenyewe mpenzi wa series za marvel.
August 11 What if...? Naisubiria. I can't wait I can't wait (In supreme leader General Aladeen's Voice)
Hahah hawa jamaaa wakiamua kufanya jambo lao hua hawakosei brother ..

Hii sasa hivi ndio most popula marvel series,humu wamecheza mzee alaf hii episode ya 6 ilipo ishia ndio daah natamani s2 itoke kesho walah
 
Hii series nimechelewa kuipata sababu sikuwa mpenzi wa series lakini nimeipata rasmi.
Mimi kama nikikutana na variant wangu basi kitu cha kwanza kabisa nilicho na uhakika nacho ni lazima ataanza kubishana.

Ni bonge moja la series ila Loki amekuwa weak na soft sana na ameanza kupata hisia kama binadamu wa kawaida mostly ni kile kidemu chake kimemsoftisha lakini kwakua kiko hot siwezi mlaumu sana, sio kama yule traitor na brutal god of mischief niliyemzoea wa sacred timeline.

Na kule mwisho sijui kimetokea nini haswa baada ya slylvie kummaliza kang then loki akarudishwa TVA lakini mobius akawa hamtambui.
Nahisi labda slylvie amekosea na akamtupia kwenye timeline nyingine ya TVA na pale kuna sanamu la kang the conqueror mwenyewe.
Ila ninachojua ni kimoja tu kwamba things are about to get messy ndani ya multiverse.

Jonathan Majors kwa muono wangu naona ameichimba vizuri ile character ya Kang the conqueror kama kundi la wengi linavyosema.
Na yule ni variant tu hao wengine sijui watakuaje ngoja tuone season 2.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom