Tunaofanya Final Law School, tukutane hapa tujadiliane

Meridah Tough

Senior Member
Nov 27, 2017
136
500
Habari zenu ndugu jamaa na marafiki?

Kwa wale ambao tunafanya Final wiki ijato, ninaomba kama inawezekana tukutane hapa na tujadiliane kwa maswali mbalimbali na majibu. Kama kuna yeyote ana maswali, anaweza kuchallenge mradi tutaweza kujifunza lolote, tukutane hapa.

Mtu mwenye topic yoyote ambayo anaona anahitaji msaada tukawekana sawa, anakaribishwa. Somo lolote lile ambalo tutalifanyaia mtihani.
 

IFRS

JF-Expert Member
Dec 19, 2014
2,603
2,000
One day natamani kusomea sheria ila now mimi ni mhasibu ila nimebobea kwenye masuala ya kodi. Je inawezekana nikawa advocate wa kodi?. Samahani nimeandika out of topic ila nadhani nimeuliza kwa watu sahihi
 

Meridah Tough

Senior Member
Nov 27, 2017
136
500
Ili uwe advocate lazima uwe na LLB. So kama utaona sawa kuanza huko kisha upite Law School, utaweza.
One day natamani kusomea sheria ila now mimi ni mhasibu ila nimebobea kwenye masuala ya kodi. Je inawezekana nikawa advocate wa kodi?. Samahani nimeandika out of topic ila nadhani nimeuliza kwa watu sahihi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom