Tunaocheat nao tunawatoa wapi!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunaocheat nao tunawatoa wapi!?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kimbweka, Jul 15, 2012.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Habarini wanajamvi!!!

  Nimeisoma hii mahali nikaona niwaletee na huku tuhabarishana


  [h=6]Je, mwanaume anayetoka kwenye nje (cheating, affair, astray) humpata wapi mwanamke ambaye anatembea naye (sex) na hata kuhatarisha ndoa yako?
  Tafiti nyingi zinaonesha kwamba mfumo wa maisha umebadilika sana, sasa wanaume kwa wanawake wote wanashiriki katika kazi ambayo hapo miaka ya 47 ni wanaume tu au wanawake tu waliruhusiwa kufanya, modern society imetengeneza mazingira mapya ambapo wanawake na wanaume sasa wanashinda au tumia muda mrefu na watu wengine wa jinsi tofauti kuliko mke au mume.
  Wanaume wengi wanaotoka nje ya ndoa zao mara nyingi hukutana na mwanamke mwingine sehemu zifuatazo

  1. KAZINI/OFISINI
  Kama tulivyoona huko nyuma kwamba cheating zote hazianzi kwa kuwa wahusika walikuwa na lengo la kufanya sex bali ni urafiki wa kawaida au kukosa hisia muhimu katika ndoa zao na kwenda kujisikia vizuri kwa hao wa nje.
  Kazini ndipo Mahali ambapo inawezekana mume wako anaweza kumpata mwanamke wa ku-cheat.
  Kama mwanamke unatakiwa kuwa makini na wanawake ambao anashinda nao kazini kwake na wakati mwingine kabla ya affair unaweza kumsikia akimtajataja mwanamke fulani huko ofisini kwao, uwe makini na hilo jina ulitunze kwenye hard disk yako.
  Pia chunguza ratiba zake za kuchelewa kurudi nyumbani kutokana na project au conference anazohudhuria na je alikuwa na huyo mwanamke.
  Uwe mzuri katika kuzungumza naye kuhusiana na kazi yake, office politics zao na hata mizaha waliyonayo huko ofisini.
  Wapo wanawake ni waoga hata huogopa kwenda ofisini kwa waume zao; kazi kwelikweli!

  2. KWENYE SHUGHULI ANAZOZIPENDA
  Kama mume wako anaipenda activity fulani (hobbies, interests) na kutumia muda mwingi na wewe huna mpango nayo/nazo basi inabidi ufikiria upya.
  Je, anaondoka nyumbani na kwenda kuangalia au kuchezea soka, jogging, golf, gym, kwaya, kazi za kujitolea nk?
  Je, akikutana na mwanamke ambaye anapenda kila na yeye anapenda unadhani kitatokea kitu gani?
  Wanaume wengi ambao walishafanya cheating, wanakiri kwamba kuwaacha peke yao wakikata mbuga katika ulimwengu wa interest na hobbies (passion) zao bila mke kuwepo ni risk kubwa sana kwani akimpata mwanamke ambaye anapenda kufanya kile na yeye anapenda uwezekano wa Kuzaliwa uhusiano mpya ni mkubwa sana.
  Kuwa mwenyewe anaweza kujikuta Anafanya connection na mwanamke mwingine na hiyo inaweza kuwa hatua moja kuelekea kwenye affair.

  Swali la kujiuliza wewe mwanamke ni hili:
  Kuna shida gani kwa wewe kujifunza kile anapenda na hatimaye kwenda pamoja na kufurahia kile mume wako anafurahi kufanya?
  Kuna shida gani kama mkienda wote kwenye ile shughuli anaipenda?
  Usipokuwa naye ili umsaidie kutoa energy basi atampata mwingine wa kumsaidia kutoa hiyo energy.
  Pia si busara kumwambia asiende eti kwa sababu wewe huenda, muhimu ni wewe kuwa active kwa kuwa naye katika hobbies zake kiasi cha kuweka uhusiano mzuri na kujenga urafiki.

  3. WANAWAKE WANAOMZUNGUKA
  Hii inaweza kuwa ni wale ambao mnafahamiana kwenye backyard yenu, majirani, kanisani, chama, shughuli za kujitolea na hata mtaa na eneo mnaloishi linaweza kuwa ni sehemu muhimu kwa mume wako kumpata mwanamke.

  4. INTERNET/ FACEBOOK
  Wengi wanasema internet/ facebook ni tatizo kubwa sana kwa wanaume kupata wanawake wambao hufanya cheating nao hata hivyo tafiti nyingi zinaonesha ni kweli anaweza kumpata mwanamke wa kuongea naye na uwezekano wa cheating (sex) si sawa na ule wa kazini au kwenye interest zake au majirani.
  [/h]
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  acha afanye atakalo, mwili wake, mali zake matumizi yake mwenyewe na sambi sake.

  Yaani nibadili mfumo wangu mzima wa maisha hadi hobbies kisa mtu asicheat?

  Sasa nitakuwa naishi kwa ajili yake na si maisha yangu tena, au mwanamke hakuzaliwa na hobbies?
   
 3. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  si unajitoa muhanga mkuu teh teh teh hahahahaaaa.......................
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  wanamme pasua kichwa ukizubaa unavaa pichu kichwani.

  Mradi anakumbuka kurudi home mapema hayo ya akiwa swimming poola anafanyaje mie hapana.

   
 5. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  lol.....
   
 6. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mwenye lake hashindwi, unaweza ukafanya yote na huoni ndani. Simple ishi maisha yako ukakosa raha ya dunia eti umeolewa! Ikiwa upendo upo unaweza mkashare activities lakini sijui nikonde, kijifunze kuogelea au kucheza mpira kwasababu ni hobby zake, lini yeye atajifunza nipendayo mimi ili na mimi nisishawishike kutoka nje.
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Inaelekea umechoshwa na jambo fulani.......pole......!!!
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hahahahaaaa mfundishe hobby ya kupika chapati na maandazi.....Ila usimfundishe hobby ya umbea...
   
 9. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  mh,jooob true true! FYI asilimia kubwa ya wanaume huwa hawapend kufuatwa fuatwa na wake/wapenz wao hasa wakiwa wanatoka na washkaji zao. mfano anataka kwenda kucheza pool table n. washkaji afu et unataka nawe mwanamke uende wee atakutoa mkuku mpaka ushangae!nina iman binadamu mwenye akili timamu hachungwi bali anajichunga. HEBU WANAUME FUNGUKENI JE NI SAWA MKEO/MPENZIO KUKUFUATA FUATA WKT UPO NA WASHKAJI KWA LENGO LA KUKUCHUNGA? WAPI Judgement, Kaizer, Erickb52, Bishanga na wengineo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  haaaaaa hii kazi sana....
  Kuishi kwa hofu ya kuibiwa mume nani anataka.....
  Mtu mzima mwenye maamuzi ni ngumu kumchunga......
  Afanye afanyavyo atakapocheat ndo uamuzi wa nini cha kufanya unapokuja....

  Raha ya mapenzi ni kutake risk....
  Raha zaidi ni pale unapojiaminisha kuwa upo peke yako...
  Inanoga ukiwa huru bila hofu juu ya mpenzi wzko.......

  Na si kuishi kwa kumfuata fuata eti'asibebwe'....
  Loh
   
 11. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Aaaa mwenzangu naende achukuliwe huku akiridhia,ntajitahidi kua nae karibu lakini kubadili mfumo haiwi,anapenda mpira na mie ndio niwe mfungua gate la nyumba tukienda uwanja wa taifa,watoto nao jee? mie nadhani akiamua hata umpenini msabilie mwili na roho yako na akiamua kufanya atafanya akuchokoe roho....
   
 12. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Waarabu wapemba hujuana kwa vilemba!
   
 13. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Maamuzi ya kiutu uzima eeeeeh......
   
Loading...