Tunamwomba Ridhiwani Kikwete atoe ushahidi kuthibitisha kweli hakuwepo nchini....... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunamwomba Ridhiwani Kikwete atoe ushahidi kuthibitisha kweli hakuwepo nchini.......

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rutashubanyuma, Nov 5, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  Ridhiwani Kikwete alipokuwa akijitetea mbele ya vyombo vya khabari kuwa hakuhudhuria kikao cha Mwanza ambacho Dr. Slaa alidai kiliweka mipango ya kuchakachua matokeo ya kura za uchaguzi hakutoa kielelezo hata kimoja cha ushahidi ya kuwa kweli alikuwa nje ya nchi kwenye tarehe hizo na hivyo asingeweza kushiriki katika kikao kinachodaiwa kiliendeshwa chini ya uenyekiti wa baba yake JK katika kupanga mikakati ya kuyachakachua matokeo...........................


  Ninamwomba Ridhiwani atupe vielelezo vya ushahidi vifuatavyo:-

  a) Nakala ya kurasa za pasipoti zenye kuonyesha mihuri ya uhamiaji ya hapa nchini na ya nchi anazodai alikwenda kuvinjari kwenye hati yake ya kusafiria ikionyesha tarehe za kuondoka nchini na kurudi........na majina ya nchi Ridhiwani anadai alikuwa amekwenda.....

  b) Nakala ya risiti za hoteli alizofikia............

  c) Nakala za tiketi za ndege alizopanda kwenye safari zake hizo.........

  d) Nakala za hati za viapo za mashahidi wake kule nje ambao anadai alikutana nao ili kuthibitisha ukweli kama alikwenda au ni fumbo mfumbie mjinga lakini mwerevu kuling'amua........

  e) Nakala za hati za viapo vya mashahidi wake ambao walimsindikiza wakati akienda na wakati akirudi zikiwemo namba za magari zilizomsindikiza na kumpokea.....

  f) Ushahidi mwingine atakaona Bw. Ridhiwani unafaa kumbeba kwenye sakata hili......

  Kama Ridhiwani Kikwete atashindwa kutoa ushahidi huu ni moja kwa moja ni haki yetu kuona anasema uongo na kwa kukosa utetezi yaani "alibi" basi alihudhuria kikao hicho ambacho ndicho kimeliletea taifa letu aibu kubwa ya kuchakachua matokeo ya kura za uchaguzi huu wote...................
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  UBOVU WA ccm NI VICHWA MAJI NA UONGO WAO NI MMOJA, SASA KILA MMOJA AtASEMA ALIKUWA NJE, NA WOTE WAMEENDA IMMIGRATION KUGONGEWA MIHUTI YA EXIT KWENYE PASSPORT ZAO
   
 3. F

  Fishyfish JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It's easy to fake most of the things you mentioned. Especially when your dad is the president of the country.
   
 4. K

  Kishazi JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Sijawahi kusikia Ridhiwani akiwa na akili za kuchambua mambo kwa undani. Siku zote anapewa desa akifika mbele ya watu linapeperuka / yeyuka. Si kosa lake; urithi mwingine sio mzuri...!!!
   
 5. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ridhiwani alijitetea kwa kudai hakutoka nje ya Dar katika kipindi cha miezi sita, wakati huo huo Ridhiwani aliripotiwa kuzurura mikoani kumkampenia baba yake tangu kampeni zianze sasa hiyo miezi sita ambayo hajatoka Dar ni Ipi ?, alikanusha kuifahamu hoteli waliyokutana kupanga mipango ya kuchakachua kura za Dk. Slaa wa ukweli, na badae akasema hoteli yenyewe ni ndogo haiweze kukusanya watu 30 kwa pamoja, Swali alijuaji hilo kama hajafika ?. Haya sasa na Rostam anadai alikuwa nje ya nchi siku hiyo na alirejea usiku wake hawa ndio CCM vilasa wa kudanganya.
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu hivyo vielelezo vyote hivyo ni rahisi kuvifoji.
  Angalia Rostsm tayari ameshasema alikuwa South Africa na mihuri ktk pass yake ya kusafiria amevionyesha mbele ya waandishi wa habari.
   
 7. b

  bob giza JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nakwambia Dr. Slaa kiboko, angekuwa mtu mwingine ndo kalipua hilo bomu wangempuuza na kukaa kimya, wangesema mzushi..ila kwa sababu ni Dr. Slaa kasema na wanajua ni ukweli na wanajua wakikaa kimya watz watajua ni kweli kwa sababu watz wanajua Dr. Slaa huwa haongopi ndo wanakaza kujitetea, hata kama usalama wa taifa ni public kama walivo cia, fbi n.k ila sijawahi waona wakijitokeza hadharani kupinga tuhuma fulani, sijawahi kamwe hapa tanzania, sasa katika kujitetea kwingi ndo wanaanza kujiumbua wenyewe, kila mtu oohb nilikuwa nje ya nchi, mara oohh sijui nilikuwa ****** nakunya..na wataongea yote, sie tunawaangalia tuu..Mungu ana njia nyingi za kuadhibu wanaocheza na nguvu ya umma..na bado..bravo Dr..kura wameiba ila cha moto watakiona..
   
 8. M

  MsemaUkweli Member

  #8
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niliwahi kukushauri kuwa fanya mambo yako kwa ushahidi kwa mujibu wa hicho cheo ulichojipachika Public analyst,Ridhwan hakusema alikuwa nje ya nchi alichosema "kwanza kwenye hicho kikao chenyewe kinachodaiwa kufanyika sikijui na hiyo hotel yenyewe kinaposemwa kikao kilifanyika sijahi kuingia hata siku moja huwa naiona kwa nje tu,na jingine hivi inawezekana vipi mheshimiwa Rais aende Mwanza na watu wasijue?"wapi alisema alikuwa nje ya nchi?aliyesema alikuwa nje ya nchi ni Rostam Aziz na ameonesha ushahidi kuwa kweli alikuwa SA kwa vielelezo WAKUU HIYO KWETU HUNENA MFA MAJI HAACHI KUTAPATAPA.SLAA AMEANGUKA KWA SABABU HAKUNA ELIMU YA UCHAGUZI NDANI YA CHADEMA,WATU WANAJIENDEA KWA JAZBA TU.NYOTE MNAOPIGA KELELE NITHIBITISHIENI KUWA MLIPIGA KURA LETENI USHAHIDI.WITNESS BEYOND DOUBT
   
 9. C

  Chap Member

  #9
  Nov 5, 2010
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa wewe ndio mtetezi mkuu wa ccm humu au tukueleweje??so unataka tukupe shahada zetu ili uzifnyie nini??au ndio unataka na sisi mtuchakachue sio
   
 10. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,984
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Hao ndio CCM Bwn, uongo hata kitu cha wazi. Mbona hawajasema huyo Mkurugenzi Kabwe kawaandika kimakosa au kawasingizia. Bila shaka watadai hiyo barua ni fake. Wacha wajitetee lakini kwa wenye akili ukweli umeisha julikana, hizo ndo zao kutawala kwa hila na ghiriba. Zao zinakaribia tuondokane na utawala wa kidectator.
  Pambana nao Dr Slaa uma uweze kujua ukweli, na wote walio lala waweze kuamka ilitujiunge na mkakati huu wa ukombozi.
   
 11. ludoking

  ludoking Senior Member

  #11
  Nov 5, 2010
  Joined: Oct 5, 2008
  Messages: 124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mwenye nakala ya hiyo barua yenye majina ya waliohudhuria hicho kikao aimwage jamvini please
   
 12. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mbona ilishamwagwa humu na still bado ipo humu!
   
 13. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Tuna shida sana na mfumo wa serikali yetu.
  kuna vyombo vya dola haviko huru kutekeleza wajibu wake kisheria

  Slaa yupo sahihi na sina shaka kwenye hoja zake.
  HAKURUPUKI
   
 14. mabina

  mabina JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 215
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35  Kama unataka ushahidi kama mtu alipga kura au laa, kafuatilie makaratasi ya wapiga kura au nenda kwenye ktabu cha wapga kra utawaona hao unaotaka wakpe uthibtsho kama wamepga kura, kthbtsho ilikuwa kwenye kdole cha mwisho kwa siku kuanzia J2 hadi kama J5, baada yahapo wino ulianza kftika kwenye kdole. Huo ushaidi unaoutaka waulize NEC!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...