Tunamuenzi na kumlilia Mandela, kwa mob justice!! wanafiki!


C

cyruss

Senior Member
Joined
Jan 13, 2012
Messages
198
Likes
6
Points
0
C

cyruss

Senior Member
Joined Jan 13, 2012
198 6 0
Binafsi nashangwaza sana na hii hali ya watu kuwa wanafiki sana, kama Madiba alichapwa viboko, aliteswa sana

kwa muda wa miaka 27 locked up almost third quarters of his life!! na bado akawasamehe waliomdhihaki , iweje

wewe leo mtu kakupora hako kapochi kako sababu ya matatizo yake yanayosababishwa na wanasiasa ambao

ndio waporaji wakubwa na bado tunawapigia makofi eti unakuja kumuua mtu kwa kumchoma moto sababu ya

kapochi kako af kesho unamuenzi Mandela kwa lipi...mnafiki mkubwa wewe na tena Mwenyezi Mungu awape

adhabu wale wote wanafiki.
 

Forum statistics

Threads 1,249,421
Members 480,661
Posts 29,697,720