Tunamtaka Msajili wa vyama vya Siasa kutoa tamko kuhusu Chadema kuongozwa na Viongozi hewa!

alexelias

JF-Expert Member
Sep 1, 2017
2,032
3,198
Ni karibu mwezi sasa Chadema hakina Uongozi wa kitaifa na hii ni kwa sababu ya Viongozi waliokuwa wakihudumu mda wao kukoma.

Sasa ajabu na kwa upole wa ajabu msajili wa vyama vya Siasa amekalia kimya kitengo hicho cha uvunjaji wa katiba pasi na kusema lolote!

Sasa basi tunamtaka msajili mara moja atoe tamko kuhusu kuvunjwa kwa katiba ya Chama kile na hatua kali zichukuliwe kwalo!

Vinginevyo,tunamwomba Mheshimiwa Rais amchukulie hatua msajili wa vyama vya Siasa kwa yeye kutolitolea tamko jambo hilo baya na la ki dikiteta linalofanywa na Viongozi wale hewa na mda wao uliopita wa Chadema.
 
Kwa sasa habari ya mujini ni hotuba ya kabudi Un

Naunga mkono hoja kila mara nyingi wameonekana wanalilia watu wafuate katiba ilihali wao wanaivunja!
 
Unaonekana unawashwa sisi hatuna muda wa kukukuna kwa sababu jana umesema msajili ataitisha press conference sasa leo wewe na mumeo mnamtaka msajili mnamtaka wa nini?
Sisi hatuna time na wanaowashwa kujaza server za JF kama huna data chunguza.wiki 1 ilopita umeandikia nyuzi si chini ya 7.kila siku uzi1 au 2 kwa ajili ya kajambo kako ka hovyo.
Kama unataka kujua msajili anataka kufanya nini kaaa chini,chunguza kisha lete data jukwaani umbea mwachie mkeo
 
Mwambie huyo kenge wa maji baridi
Unaonekana unawashwa sisi hatuna muda wa kukukuna kwa sababu jana umesema msajili ataitisha press conference sasa leo wewe na mumeo mnamtaka msajili mnamtaka wa nini?
Sisi hatuna time na wanaowashwa kujaza server za JF kama huna data chunguza.wiki 1 ilopita umeandikia nyuzi si chini ya 7.kila siku uzi1 au 2 kwa ajili ya kajambo kako ka hovyo.
Kama unataka kujua msajili anataka kufanya nini kaaa chini,chunguza kisha lete data jukwaani umbea mwachie mkeo
 
Ni karibu mwezi sasa Chadema hakina Uongozi wa kitaifa na hii ni kwa sababu ya Viongozi waliokuwa wakihudumu mda wao kukoma.

Sasa ajabu na kwa upole wa ajabu msajili wa vyama vya Siasa amekalia kimya kitengo hicho cha uvunjaji wa katiba pasi na kusema lolote!

Sasa basi tunamtaka msajili mara moja atoe tamko kuhusu kuvunjwa kwa katiba ya Chama kile na hatua kali zichukuliwe kwalo!

Vinginevyo,tunamwomba Mheshimiwa Rais amchukulie hatua msajili wa vyama vya Siasa kwa yeye kutolitolea tamko jambo hilo baya na la ki dikiteta linalofanywa na Viongozi wale hewa na mda wao uliopita wa Chadema.
Mbona mnahangaika sana na Chadema wakati Membe anawatoa kamasi mdogo mdogo, siasa zimewashinda mumebakia umbea na ugaidi tu.
 
Nyie mabinti wa Lumumba huyu MBOWE ana MKE na watoto hawezi kuoa tena
Huko yamejaa mashoga ndiyo maana yanaparamia watu hovyo.
tapatalk_1564893878930.jpeg
 
Membe kishasema vijana wa lumumba wapo hoi wanabwabwaja vyeo wanapewa kina Mtatiro.Kama una akili timamu huwezi pigia debe tena ccm
 
Back
Top Bottom