Tunamtaka Joh Makini wa 'Hao', huyu wa ni-come ndugu zake njooni mumchukue

Tatizo la mtoa mada ndio tatizo linalowapa shida Watanzania wengi has wajasiriamali? Usichokifahamu ni kwamba Muziki ni bidhaa inayouzwa kama bidhaa nyingine ambazo zinapendwa na watumiaji (consumers).
Sasa shida ya wafanyabiashara/wajasiriamali huwa hawafahamu end user wanataka kitu gani, wao wanaleta tu vitu ambavyo wao wanavipenda. Sasa kama soko linataka anavyoimba sasa, kuna haja gani ya kufanya mziki ambao majority hawaupendi?

Kuna saluni ipo mnazi mmoja Dar es salaam huwa nanyoa hapo, jamaa ananyoa na wembe hadi sasa na mkasi; watu huwa wanaleta maneno maneno kuwa kwa nini habadiliki hana machine and so... Ila nilifanikiwa kumuuliza jamaa siku hiyo akaniambia kuwa yeye anafahamu aina ya wateja wake, na kwamba japo hajahama kwenye mashine bado ana wateja wengi sana yanini atumie mashine? Namnukuu "Kama nyie wateja wangu mkitaka mashine basi niambieni, mimi nawasikiliza ninyi mabosi wangu"

Tatizo ni ubinafsi, kitu chochote unachofanya has cha kijamii hakikisha jamii inafaidika/ lenga jamii kwanza kabla ya kujiangalia wewe.
Nimekuelewa mkuu hasa hapo mwisho
 
Back
Top Bottom