Tunamtaka Joh Makini wa 'Hao', huyu wa ni-come ndugu zake njooni mumchukue

Aiseee huyu wa sasa ni kituko kwakweli ila ndo wa media sasa with his nonsense
Najiulizaga HV akisikilizaga masongi yake ya zamani like hao,dakika tisini,muda nn anajiskiaje?
I was real fan kwakweli ila sio kwa huyu wa kuramba midomo kama Mr blue
 
Mimi ni mmoja wa mashabiki wa msanii Joh makini tangu anatoka akitengenezwa kuja kuchuana na msanii mwenye kipaji kuliko wote bongo (Chid benz).

Mwamba wa kaskazini alitikisa anga la mziki na kila mkwaju alioachia ulikuwa wa Moto ndio maana alipojiita Tz Jay z sikumbishia sana.

Nakumbuka ngoma zake kama Mfalme,Hao,muda,sijutii,Stimu zimelipiwa,Show za Joh,Kilimanjaro n.k, collabo alizopiga akangaa kama utaipenda ya Hussein machozi na nyinginezo.

Huyu Joh makini wa Weusi simuelewi kabisa yaan amepwaya katika uandishi kuliko zaman, hatumuoni kama Hip hop icon wa kaskazini yaani anakoelekea haeleweki kabisa.

Chondechonde tunamhitaj Joh Makini wa Hao, huyu wa madaraka,Nicome ndugu zake njooni mumchukue.
Possibly, upeo wako wa kuelewa utakuwa umeshuka, tena to negative. U need psychiatrist.
 
Joh yupo on fire ni hatari, sema ni vile machalii mmekuwa na kilalulalu. Mwana anatoa good music.

Unajua nini, siyo lazima uvutiwe na mwana, kama we humsomi basi wengine wanamuelewa
 
Joh yupo on fire ni hatari, sema ni vile machalii mmekuwa na kilalulalu. Mwana anatoa good music.

Unajua nini, siyo lazima uvutiwe na mwana, kama we humsomi basi wengine wanamuelewa
Chalaa angu acha kuturushia arifu,si tunataka ngumu ngumu ye analeta eti sijui nataka ku come ni full ungese tu.

Hio Good music awaachie wakata mauno wa huko dar,ye alete yale ma full consious tumeditate jombaa.

Amekalia kuimba kuimba nyimbo huku analazimisha vina ambavyo havipo,hovyo hovyo tu.*****...
 
Let me handle ma business mama yo mabusiness
Napamabana juu yako mama niko busy
Nipo na davido hii single
Chakula ya kingkong ngogingo
Naficha mwenyewe kibindo
Baba na towoo mitindooo
Wowooo mama la towowowww
Mauno you know ma umo umo
Kaa umo umo Na kaa umo umo
International numero uno
Nina ugurumo msondo kiburuni michongo
Kigururusi ndondo ukiniruhusu uondo
Niko deeper kinondo
Nikikita kimondo
Sihalalishi magendo
Wooo iyaaa eeh
Kihalali tu ni pendo
Chorus - Davido
Wooo iyaaa eeh
Wooo iyaaa eeh
Wooo iyaaa eeh
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata let
 
Let me handle ma business mama yo mabusiness
Napamabana juu yako mama niko busy
Nipo na davido hii single
Chakula ya kingkong ngogingo
Naficha mwenyewe kibindo
Baba na towoo mitindooo
Wowooo mama la towowowww
Mauno you know ma umo umo
Kaa umo umo Na kaa umo umo
International numero uno
Nina ugurumo msondo kiburuni michongo
Kigururusi ndondo ukiniruhusu uondo
Niko deeper kinondo
Nikikita kimondo
Sihalalishi magendo
Wooo iyaaa eeh
Kihalali tu ni pendo
Chorus - Davido
Wooo iyaaa eeh
Wooo iyaaa eeh
Wooo iyaaa eeh
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata leta
Kata kata let
Kaimba utumbo mtupu
 
anaimba Hip hop mapenzi eti nampenda sana demu wangu, hiphop ni harakati sio malovee
 
Tatizo la mtoa mada ndio tatizo linalowapa shida Watanzania wengi has wajasiriamali? Usichokifahamu ni kwamba Muziki ni bidhaa inayouzwa kama bidhaa nyingine ambazo zinapendwa na watumiaji (consumers).
Sasa shida ya wafanyabiashara/wajasiriamali huwa hawafahamu end user wanataka kitu gani, wao wanaleta tu vitu ambavyo wao wanavipenda. Sasa kama soko linataka anavyoimba sasa, kuna haja gani ya kufanya mziki ambao majority hawaupendi?

Kuna saluni ipo mnazi mmoja Dar es salaam huwa nanyoa hapo, jamaa ananyoa na wembe hadi sasa na mkasi; watu huwa wanaleta maneno maneno kuwa kwa nini habadiliki hana machine and so... Ila nilifanikiwa kumuuliza jamaa siku hiyo akaniambia kuwa yeye anafahamu aina ya wateja wake, na kwamba japo hajahama kwenye mashine bado ana wateja wengi sana yanini atumie mashine? Namnukuu "Kama nyie wateja wangu mkitaka mashine basi niambieni, mimi nawasikiliza ninyi mabosi wangu"

Tatizo ni ubinafsi, kitu chochote unachofanya has cha kijamii hakikisha jamii inafaidika/ lenga jamii kwanza kabla ya kujiangalia wewe.
 
Back
Top Bottom