Tunamtaka Joh Makini wa 'Hao', huyu wa ni-come ndugu zake njooni mumchukue

Kwanza nikiri Im his biggest fan..
Kwakweli nimevumilia bimeshindwa....

Nimempigania sana ila hapana..

Anaharibu.

Hii ngoma yake ya sasa ya mipaka ndo sijaielewa kabisa.
Wacha aende tu ...
Alikiba na diamondi unawaelewaga??

Kama unawaelewa basi haiwezekani usimuelewe joh makini.

Makini kaimba sana katoa ngoma kali na za kueleweka mwanzo lakini hela ikawa ni ngumu kuikamata

Kaimba vya namna visivyoeleweka lakini hela kwambalii imeanza onekana..

Ndugu yangu shida ni hela imemtaka aimbe hivyoo..

Unaijua nyimbo ya dj snook ile apaa paaa apaaa ... ulishaielewa ile nyimbo ??? Lakina snooka alipiga hela.

Hivyo basi mwanzo nilikua nachukia namna joh makin anavyoimba ila nikaja jiuliza... jamaa anatafuta nini .. hela maisha mazuri ya leo na kesho

Pia anawatoto na mke pia sasa akiimba kama inavyotaka baasi hela asahau

Jiulize roma na stamina (rostam) na ule wimbo wao wa sitaki kibamia umeuelewa mwenzangu? Kama ndio basi huwezi kia huelewi ya joh makini

Tunawekana sawa mkuu.. mitazamo tofauti ndio inatufanya tuwe sawa.
Yaani kuwa fofauti ndio kunatufanya tuishi pamoja.
 
He is worn out....

Muda ukikutupa umekutupa tu...

Sema tu Clouds wanawabeba... Nahisi wana hisa pale.

Kama Jay Mo tu, anaimba upumbavu lakini anapata airtime
 
Sasa hivi tunataka kusikia melody na visivyoeleweka tu,manake vinavyoeleweka vinatuchanganya,ujikute kusiko julikana bure,kama unataka vya kueleweka nenda kanisani na misikitini wanaimba vya kueleweka,Wanunuzi wazuri wa hizo kazi hawataki kusikia vya kueleweka,kwa hiyo muache mwamba apige pesa,naukubali sana wimbo wa
Perfect combo
 
He is worn out....

Muda ukikutupa umekutupa tu...

Sema tu Clouds wanawabeba... Nahisi wana hisa pale.

Kama Jay Mo tu, anaimba upumbavu lakini anapata airtime
Mkuu amini usiamini muziki huu ulishakufa umezikwa na hela.. nimekuuliza hapo juu kama inawalewaga diamond na alikiba ?
 
He is worn out....

Muda ukikutupa umekutupa tu...

Sema tu Clouds wanawabeba... Nahisi wana hisa pale.

Kama Jay Mo tu, anaimba upumbavu lakini anapata airtime
Yaan Jay moe anapoelekea ndo kapotea kabisa eti "tunakula bata"
 
Wale producers waliomtoa wako wapi nw!?

Arudi hata kwa Nahreel anampatia pia..

kwahiyo wewe huelewi beat anazotumia au huelewi mashairi yake??

Unamaanisha hiyo Mipaka angeifanya kwa Nahreel ungeilewa kwasababu ya beat ya Nahreel??
 
Kwa kweli huyu jamaa haeleweki siku hizi anaimba nin,siku za nyuma nilikua namtetea...lakin nimefatilia nyimbo zake kadhaa duuuh huge drop down,totally downfall.

Kuna wimbo wake mpya "MPERA" naucheki clouds hapa mmmmmhhhh sijaulewa hata kidogo..
 
Back
Top Bottom