Tunamsaka mbaya wetu CAG tusaidie

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,615
2,000
Tuaumia mioyoni, tunamawazo vichwani, yaani hatuelewielewi!

Miaka inazidi kukatika na watu hawaoni tunachokiona! Hivi hata Mangula haoni kweli?

Hivi mnataka itokee nini ndio mjue kuwa tuna umia mioyoni!

Baba CAG tusaidie tuujue ukweli.
Tena usiogope kuusema hadharani maana ukweli ndio tunautaka.

Tunaimani wewe hununuliki! Tena wewe ni jembe!

Baba CAG Pitia hesabu moja baada ya nyingine mpaka tujue ni nani ameliua shirika letu la uchumi SUKITA.

umbaini na utoe mapendekezo gereza lipi apelekwe. Sukita sio karatasi useme imelowa na kutokomea na maji ya mafuriko.

Kumbukeni hiyo ni ruzuku ya chama! Ni kodi za wananchi hizo.

CAG tusakie mbaya wetu tafadhali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom