Bluray
JF-Expert Member
- Mar 25, 2008
- 3,449
- 127
Miye sina kasoro ya kumpa mzee Rashid Mfaume kawawa zaidi najua alikuwa mtu muaminifu sana na siyo Fisadi.....Bluray kama kosa lilishatokea na sasa amekufa let him rest in peace my dearest!....
Rest In peace RMK.
I did not only let him rest in peace, I also wished for all beings to attain enlightenment.
Whether tunamuongelea negatively au positively hapa huyu mzee yupo katika the deepest of peace right now, ameshakufa.
Tatizo ni kwamba kuna tabia ya kuwapamba watu positively tu, na ukiongea mabaya yao unaonekana wa ajabu. Katika utamaduni huu tunapindisha historia na ukweli.
Tayari nilishaanza kuona historia inapindishwa na Kawawa anavikwa kofia ya mpiganaji dhidi ya ufisadi kutokana na vi statement viwili vitatu alivyovitoa basically on his deathbed.
Nilichotaka kuonyesha hapa ni kuwa kina Kawawa walifanya ufisadi long time, bila ya kuogopa upinzani wala the press, enzi za chama kushika hatamu na kujichotea tu.Kwa hiyo tusitake kumpamba positively tu, na mabaya yake tuyaseme pia.Labda hili litasaidia kufundisha mafisadi wa leo na wanaotaka kuwa mafisadi kwamba ukiwa fisadi tutakusema mpaka siku ya kufa.