Muwe na ufahamu kuwa mtu ukiwa kwenye nafasi watu wengi hawaoni umuhimu wako. Leo hii umuhimu wa Kikwete unaonekana waziwazi. Mhe. Kikwete ni Mzee mwenye HURUMA sana. Mhe. Kikwete hata mtu wa kawaida akilazwa utamwona lazima amjulie hali. Mhe. Kikwete mtu wa kawaida akifiwa lazima akamuhani. Mhe.Kikwete ni mtu anyejichanganya na kila rika. Hatukatai kuwa alikuwa na mapungufu lakini Mhe. Kikwete alikuwa mtu wa watu.