tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,115
Tunamkumbuka Jk kwa mazuri machache aliyotufanyia hasa hasa uhuru wa kuongea .
Lakn tunasahau kamaliza vibaya katika utawala wake kwa kutuletea hii shida. Jaman tusisahau hii shida kaileta yeye kwa kulazimisha watu wafate anavyotaka . Mwishoni watu wakaamua bora tukose wote . Mwishowe tukaambulia hii shida.
Mimi namlilia kikwete yeye ndio kaileta hii shida .
Bila yeye kutaka kulazimisha mambo hii shida hata tusingekua nayo .
Jk wewe ndiye umeileta hii shida, hata usikwepe lawama..........
Mwenye akili ajiongeze... kuhusu hii shida!!!!!