Tunamkumbuka Kikwete lakini tunasahau yeye ndiyo kaileta hii shida!!

tikatika

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,330
4,114
Tunamkumbuka Jk kwa mazuri machache aliyotufanyia hasa hasa uhuru wa kuongea .

Lakn tunasahau kamaliza vibaya katika utawala wake kwa kutuletea hii shida. Jaman tusisahau hii shida kaileta yeye kwa kulazimisha watu wafate anavyotaka . Mwishoni watu wakaamua bora tukose wote . Mwishowe tukaambulia hii shida.

Mimi namlilia kikwete yeye ndio kaileta hii shida .

Bila yeye kutaka kulazimisha mambo hii shida hata tusingekua nayo .

Jk wewe ndiye umeileta hii shida, hata usikwepe lawama..........

Mwenye akili ajiongeze... kuhusu hii shida!!!!!
 
Dili zimekata??? Ni Shidaaaaaaah
 
Perfect, shida yote kaileta huyu baba. Na Mumgu amhukumu kwa hilo tu! Haya yoteb yasingelikuwepo, mateso yote haya!
 
Kitendo cha wale wa3 kuhamia upande wa pili ndio wanaosababisha wazibwe midomo,maana wakiachwa wapande kwenye majukwaa watabwabwaja sana.huu ni mpango maalum wa kuwamaliza kisiasa.
 
bila yeye na wenzie akina ben na landloard,tusingfka hapa!uko sawa 100%.
 
Kaileta ili tumuone yeye ni bora na tumkumbuke. Bila hivyo tungekuwa tushamsahau kama aliwahi kuwepo kwenye nchi hii.
 
Dah! Bora angepita yule dogo wa ''Ikulu sii ya Babako''.

Kidogo maisha yangekuwa na unafuu.....Hii shida sina imani nayo tena.
 
Alieluhusu mwiiba kuingia mguuni ndio wa kulaumiwa pindi mwiba unatolewa Kwa maumivu kwasbbu hakuruhusu kuvaa viatu vyenye soli ngumu, je ni nani hiyo????? Je ni jk au b. W. Mkapa,???, au ni baba JESKA???????? lkn ntatumia miwani Kwa kusoma jibu
 
Wa kulaumiwa hapa ni mkapa kikwete hawa ndiyo waasisi wa
Mifumo mibovu kabisa haya
Yanayofukuliwa na baba jesca
Kayakuta yamewekezwa na hao
Wawili kwa hiyo kuweni wapole
tu mtazoea
 
Yaani kwa jinsi navyomchukia sizonje ila sina budi kuvumilia kweli mkwere umeniletea shida mimi personal shahidi.
 
Nakumbuka kuna mzee aliniambia mwaka jana "bora huyu mtu aondoke, kaifilisi nchi, hazina hakuna pesa, mishahara haiingii kwa wakat" sijui kweli ndugu mlioajiriwa serikalin
 
Kikwete asingemkata Lowassa Chadema isingefuta Tuhuma za Ufisadi wa Lowassa,

Jakaya kawezesha Chadema kuacha Kumchafua Ndugu Ngoyai
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom