Tunalizungumziaje kuibuka kwa Tuzo za EATV-AWARDS-2016

Diamond nyimbo zake zote kwenye top 10 hazifiki namba 1 au 2 , yaani asipokuwa kiba basi ni baraka da prince
hahaha! sasa kama watazamaji hawamkubali unatakaje? halafu mbona leo nimeona anapromote e-news? wako poa bhana, hamna shida!
 
Sio mbaya ila wangeongeza category ata kumi na na tano, kama best female hiphop mc sijaona, best collabo sijaona,,,, anyway ndio first time tusilaumu sana
 
Mbona clouds walianzishaga tuzo zao zikawa zinaotitwa teentz awards (2010~2012) watu wakavote dk za mwisho basata wakawagomea kuwa kibali madai n kuwa ktma ndo tuzo pekee zinatakiwa kufanyika bongo nashangaa EATV wamepewa go ahead
inawezekana clouds walidandia, na pia uandaaji wao haukuwa wa kitaalam. si unajua kule shule ni ziro!!
 
Nini kiliwafanya kuwa maji na mafuta??
Mbona yeye pamoja na vifaranga wake huwa wanahudhuria hapo kwaajili ya mahojiano..pia nyimbo zao hupigwa hapo..??
mkuu hakuna upendeleo kwa hili ingia fb eatv utaona katika koment 300 wanaotaka nyimbo ya alikiba koment 250
 
Hizi tuzo ili uwe nominated lazima upeleke nyimbo yako mwenyewe ujaze form alafu ndo upitishwe
 
Wajitahidi wasipendelee tu halafu categories 10 ndogo mwee wangefanya atleast 15
 
Mchongo wa kijanja kwa sasa ni EATVAWARDS-2016.
Karibia hapo kesho na Eatv Chanel na Eatv Redio na kufuatilia categories zote ambazo zitakuwepo.View attachment 383846
Kuwa karibu na TV yako sasa!!

Mimi sijaelewa ni EATV AWARDS
AU VODACOM AWARDS

Kwa nin award ya itolewe na Eatv alafu idhaminiwe na coca cola na vodacom ?????????


MTV wanatoa awards zao wenyewe hawadhaminiwi na mtu.



EATV
Naona kama hawa wameshindwa hivi.
 
Mimi sijaelewa ni EATV AWARDS
AU VODACOM AWARDS

Kwa nin award ya itolewe na Eatv alafu idhaminiwe na coca cola na vodacom ?????????


MTV wanatoa awards zao wenyewe hawadhaminiwi na mtu.



EATV
Naona kama hawa wameshindwa hivi.
Washakwambia "usi force tufanane"
 
Washakwambia "usi force tufanane"
Hiyo Slogan haihusiani na nilichoongea mimi , hiyo slogan inawahusu wale wenzao walio na tasnia kama yao .

Swali langu linawahusu wenyewe kwa nin mpaka leo wanadhaminiwa na watu .

Nautilishia shaka ubora wa Tuzo .
 
Hiyo Slogan haihusiani na nilichoongea mimi , hiyo slogan inawahusu wale wenzao walio na tasnia kama yao .

Swali langu linawahusu wenyewe kwa nin mpaka leo wanadhaminiwa na watu .

Nautilishia shaka ubora wa Tuzo .
udhamini ndio unafanya tuzo ziboreshwe zaidi maana hapo tunaongelea swala la pesa na pia hiyo ni biashara vodacom na coca cola wanatangaza kupitia hizo tunzo....sidhani kama una hoja za msingi sana .. hebu twambie doubt yako iko wapi?
 
Nilicho kipenda kwenye hizi tunzo ni kwamba
Kwanza wewe mwenyewe ndio unajipendekeza
Halafu ni lazima uwe umesajiliwa na Basata
 
Dhibitisha kauli yako.... Acha kukurupuka

Nini kiliwafanya kuwa maji na mafuta??
Mbona yeye pamoja na vifaranga wake huwa wanahudhuria hapo kwaajili ya mahojiano..pia nyimbo zao hupigwa hapo..??

C kwel buana...mbna nymbo zake znapgwa sana tena kama hio kidogo ndo usiseme mida ya mchana....hata e newz pia hua anahojiwa...

Ndio sababu nikauliza..au ni watu wanataka kutengeneza kitu..

Ingawa naona Kama huyo kijana hajaonesha kujihusisha na hizo tuzo..

jamaa muongo huyo achana nae

hawana bifu ww ni mara ngap unamuona diamond friday night live
Hili jambo lilikuwepo kama mwaka 1 au miwili iliyopita hata wimbo mmoja wa Diamond ulikuwa haupigwi EATV.
ila naona siku mambo shwari labda pande zote mbili zilikaalikaa kwenye meza ya majadiliano.
Msipende kubishana na waliowatangulia kuja mjini.
Cc. brave one.
 
Back
Top Bottom