Tunalizungumziaje kuibuka kwa Tuzo za EATV-AWARDS-2016

Kuna watu wameshaanza vijimaneno vya kijinga, ila sidhan kama EATV wana shida na msanii yeyote. Watu tulidhan kwamba hapakuwepo kwa tuzo, so kama wamekuja na hii idea, basi tuwape support badala ya kuanza vijimaneno
wajinga tu hao.. kili walisusa tuwashukuru voda
 
Lady Jaydee atapata tuzo ya msanii bora wa kike ... Wakati kina Maua sama na Rubi wamemfunika... Trust me on this.
 
Kwenye top ten yao kila siku namba moja asipokuwa ali kiba basi atakua baraka da prince yaan tangu hko kipindi kinaanzshwa hao wawl ndo wanaongoza,siku hz kaongezeka nedy music.hata tuzo bila shaka watapewa hawa kuliko wengne
hua zinapigwa kura na wanaweka mfumo wa kupiga kura kama hua hupigi unategemea nn
 
Clouds wamekubalije hii itokee kabla yao? Anyway nategemea fitna nyingi kwenye hili, unaweza kuja sikia fulani kabaniwa kisa kapokea tuzo fulani
Mbona clouds walianzishaga tuzo zao zikawa zinaotitwa teentz awards (2010~2012) watu wakavote dk za mwisho basata wakawagomea kuwa kibali madai n kuwa ktma ndo tuzo pekee zinatakiwa kufanyika bongo nashangaa EATV wamepewa go ahead
 
Kwenye top ten yao kila siku namba moja asipokuwa ali kiba basi atakua baraka da prince yaan tangu hko kipindi kinaanzshwa hao wawl ndo wanaongoza,siku hz kaongezeka nedy music.hata tuzo bila shaka watapewa hawa kuliko wengne
Zile top ten ni mashabiki ndio wanaochagua na si wao......MUDAWAKO
 
Mbona clouds walianzishaga tuzo zao zikawa zinaotitwa teentz awards (2010~2012) watu wakavote dk za mwisho basata wakawagomea kuwa kibali madai n kuwa ktma ndo tuzo pekee zinatakiwa kufanyika bongo nashangaa EATV wamepewa go ahead
Endelea kushangaa miaka miwili then kibali mnagomewa
 
Eatv na earadio itabaki kuwa radio na tv inayoangaliwa na kusikilizwa na wote naamin hata izo tuzo zao hakutakua na ulalamishi wa kijinga ila sasa
Efm na clouds zitabaki kuwa radio za mgawanyiko wa fans nchini
 
sasa pale kwenye msanii bora wa kiume watawaweka pamoja wakina Omary Tego na Ali Kiba au?!
 
Back
Top Bottom