Tunalalama tu,ninawavyowajua wadowns washalipwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunalalama tu,ninawavyowajua wadowns washalipwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by muhogomchungu, Jan 20, 2011.

 1. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwakuwa swala hilo limepigwa chenga ya mwaka bungeni , likapigwa chenga mahakamani usuluhishi, Likapigwa Chenga barazani kwa mawaziri, likapigwa chenga kwenye vyombo vya habari, sijui nini kinachonizuia kuamini hadi leo dowans hawajalipwa? eti kusajiliwa mahakamani ndio kikwazo? noo, bado siamini kama bado downs hadi leo hawajalipwa japo kifutia jasho cha mwanzo., ka,m kote huko downs imevuka, ishindwe kuapata saini ya jaji? mahkama kuuu ya tz?
  jee tunaimnini vipi mahakama kuu nayo kuchakakachua?
   
 2. nickname

  nickname JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 516
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Bingwa wa kuandika Pumba.Badilika kuwa mbunifu usiandike uongo ili uwa provoke watu waandike maoni mengi .Nakushauri uandike mawazo chanya
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,260
  Likes Received: 19,385
  Trophy Points: 280
  mkuu mimi naona kama hii sio pumba ati. Hivi wewe hawa viongozi uliowapigia kura na kuwaweka madarakani unawaangaliaje ?
   
 4. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa za Kitajelinsia, Downs tayari walipwa nusu ya deni lao kabla hata mahakama kusaini.
  kupitia a/c ile ile yenye utata uleule
  source:tanzaniawenyeuchungu na nchi
   
 5. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,498
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  soure plz
   
 6. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tanzania wema
   
 7. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #7
  Jan 21, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yaani hadileo tunaamini downs hawajalipwa?
   
Loading...