Tunakwenda mbele au tunarudi nyuma kielimu watanzania ?

Mar 19, 2012
16
1
Nazani ni wakati wetu muafaka sasa kufanya tafakuli ya kina katika nyanja ya elimu. Naanza kwa swali je elimu tunayo katika nga ya vyuo vikuu inakizi vigezo vya ushindani wa kimataifa? Kama ni hivyo basi ni wakati sasa wa kuhakiksiha elimu tunayo ipata inaweza kukizi ushindani katika soko la afrika mashariki kabla ya kuanza mchakato mzima. Nazani kama wazalendo tunapaswa kuangalia swala hili katika nyanja elimu kwa kina na mtazamo yakinifu.
 
Wewe binafsi kuandika tu haujui
Nazani-nadhani
Tafakuli-tafakuri
Inakizi- inakidhi
Sasa hapa ndio umeandika nini!!!
"je elimu tunayo katika nga ya vyuo
vikuu inakizi vigezo vya ushindani wa kimataifa?
"
---------_________________________---------
Jijadili wewe kwanza
 
Back
Top Bottom