Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania

Kayombo Tips

JF-Expert Member
Jun 19, 2020
571
490
Mwakani Elon Musk atazindua huduma ya internet kupitia kampuni yake ya Starlink. Elon Musk alisema kwenye tweet yake kuwa mwakani atazindua huduma ya internet ambayo itakuwa inapatikana dunia nzima bila kujali eneo gani upo.

Ikumbukwe kuwa internet ya Elon Musk itakuwa inarushwa na satellite zake yeye mwenyewe alizoweka angani huko. Naona kama mpango wa Elon Musk utaweza kuumiza biashara ya Internet inayotumika na mitandao ya simu inayotumia minara. Hivyo itaweza kuleta ushindani wa kibiashara.

Lakini na wasiwasi kama mitandao ya simu ya hapa Tanzania itaweza kushindana na Elon Musk kulingana na Teknolojia anayotumia?

Natamani Elon Musk angeanzisha hata mwaka huu ili tupumue gharama za vifurushi. Mitandao ya simu pigeni faida kwa mara ya mwisho. Kuanzia mwaka ujao bilionea atawanyanyasa sana. Je mtaweza kushindana naye?
Wanajukwaa mna mtazamo gani juu ya hili?
 
Sina neno mkuu yetu macho maana tunazidi kuteseka mitandao kutwa kutupandishia mabando bila taarifa.
 
Satellite internet ina spidi ndogo ukilinganisha na internet ya fiber.

Uko USA kwenyewe T-Mobile, At&T nk bado zimetawala stanlink inatumika zaidi vijijini maeneo ambayo fiber haijasambazwa

Pia starlink ina gharama kubwa kuliko hata rates za sasa za Vodacom superkasi ambayo ndio home internet yenye gharama zaidi ukilinganisha na zuku na ttcl
 
Mwakani Elon Musk atazindua huduma ya internet kupitia kampuni yake ya Starlink. Elon Musk alisema kwenye tweet yake kuwa mwakani atazindua huduma ya internet ambayo itakuwa inapatikana dunia nzima bila kujali eneo gani upo.

Ikumbukwe kuwa internet ya Elon Musk itakuwa inarushwa na satellite zake yeye mwenyewe alizoweka angani huko. Naona kama mpango wa Elon Musk utaweza kuumiza biashara ya Internet inayotumika na mitandao ya simu inayotumia minara. Hivyo itaweza kuleta ushindani wa kibiashara.

Lakini na wasiwasi kama mitandao ya simu ya hapa Tanzania itaweza kushindana na Elon Musk kulingana na Teknolojia anayotumia?

Natamani Elon Musk angeanzisha hata mwaka huu ili tupumue gharama za vifurushi. Mitandao ya simu pigeni faida kwa mara ya mwisho. Kuanzia mwaka ujao bilionea atawanyanyasa sana. Je mtaweza kushindana naye?
Wanajukwaa mna mtazamo gani juu ya hili?
Tutalipia kupitia nini?
1. Usd kwa bank?
2. Anaweza kuingia ubia na mitandao ya simu?
3. Au cryptocurrency?
Usitegemee tutapewa bure bali itakuwa nafuu lkn itakuwa fursa ndani ya fursa
 
Kwa uelewa wangu mdogo hio satellite Internet ita hitaji very high quality devices sio hiyo tecno F1 yako ya laki na nusu. Imagine tu television leo zinatumia satellite lakn niambie uendeshaji wake ulivo.

Hata hivyo ile ni biashara hiyo Internet lazima tu itauzwa ili jamaa aendelee kupiga mpunga.

chukulia mfano pia alivoanzisha magari ya umeme, wengi tulisema "sasa ewaaaa.. kamserereko" lakini uhalisia wake ni kwamba hazishikiki, cheap tesla car inaanzia around dollar 45,000 sawa na milion 105 za tz, bado garama za uendeshaji.

Anyway msikate tamaa
Zamani nokia jeneza ilikuwa inauzwa laki na nusu... 😄😄 Philips ya mkonga elfu 90 na ukiwanayo we ni 'freemason'
 
Tutalipia kupitia nini?
1. Usd kwa bank?
2. Anaweza kuingia ubia na mitandao ya simu?
3. Au cryptocurrency?
Usitegemee tutapewa bure bali itakuwa nafuu lkn itakuwa fursa ndani ya fursa
Sijasema tutapewa bure. Hakuna mtu anaye wekeza pesa yake sehemu bure. Kuhusu malipo yatafanyika kwa niia nyingi kama PayPal, Stripe, na njia nyingine
 
Mwakani Elon Musk atazindua huduma ya internet kupitia kampuni yake ya Starlink. Elon Musk alisema kwenye tweet yake kuwa mwakani atazindua huduma ya internet ambayo itakuwa inapatikana dunia nzima bila kujali eneo gani upo.

Ikumbukwe kuwa internet ya Elon Musk itakuwa inarushwa na satellite zake yeye mwenyewe alizoweka angani huko. Naona kama mpango wa Elon Musk utaweza kuumiza biashara ya Internet inayotumika na mitandao ya simu inayotumia minara. Hivyo itaweza kuleta ushindani wa kibiashara.

Lakini na wasiwasi kama mitandao ya simu ya hapa Tanzania itaweza kushindana na Elon Musk kulingana na Teknolojia anayotumia?

Natamani Elon Musk angeanzisha hata mwaka huu ili tupumue gharama za vifurushi. Mitandao ya simu pigeni faida kwa mara ya mwisho. Kuanzia mwaka ujao bilionea atawanyanyasa sana. Je mtaweza kushindana naye?
Wanajukwaa mna mtazamo gani juu ya hili?
Mi nafikiria jinsi ya kuishi bila bando angalau kwa siku mbili tu maana naona tozo ziiileeee za bando ziko mlangoni
 
Satellite internet ina spidi ndogo ukilinganisha na internet ya fiber.

Uko USA kwenyewe T-Mobile, At&T nk bado zimetawala stanlink inatumika zaidi vijijini maeneo ambayo fiber haijasambazwa

Pia starlink ina gharama kubwa kuliko hata rates za sasa za Vodacom superkasi ambayo ndio home internet yenye gharama zaidi ukilinganisha na zuku na ttcl
Yeye mwenyewe alisema kwa kuanza haitakuwa na kasi sana ila angalau itaanza na kasi ya 3g na 4g. Kuhusu gharama ni kweli ina gharama kubwa. Lakini tambua kuwa hiyo internet ya mwakani itakuwa tofauti na hii anayofunga ving'amuzi
 
Back
Top Bottom