SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,920
- 1,997
Ni huku kwetu ambako mbunge wetu anakula sikukuu akiwa ndani.
Tunaomba mamlaka inayohusika iturejeshee huduma hii muhimu
Tunaomba mamlaka inayohusika iturejeshee huduma hii muhimu
Na Ole wao Waandishi wa Habari watangaze hili tukio, tunawasweka ndani.A town sasa ni siku ya nne SAKINA JUU NA CHINI KALOLENI YOTE SANAWARI YOTE MITAA YA MIANZINI YOTE HAKUNA MAJI.
SWISSME
Mkuu Mungu ameshafanikisha kiongozi wetu yuko uraini ,lakini siku hizi huduma hii ya maji hailewek huku uraiani kwetu Mara wayakate siku 3/4 sijui tatizo liko wapiSiku God atakapombless Lema mambo yatakaa sawa vuteni subira

Mkuu hili tatizo sijui linatokana na nini hadi sasa maji sio ya uhakika kihivyosasa hivi hapa nilipo mitaa ya mashele hadi mitaa ya kaloleni wamama wanalia kweli na hii shida haikuwepo kabisa baada ya Mh Lema kuburuzana na yule mpaka lipstiki mdomoni maji na yenyewe yanipelekwa kisongo magereza au tu FITNA amri kutoka juu au ni dharau tumechanganyikiwa hapa Geneva of A town.
swissme