Tunakukumbusha ahadi zako Rais mjini Kahama

MWAKATA KWETU

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
562
319
Nakukumbusha Raisi wangu John Pombe Magufuli, ulipokuja Kahama ulituahidi barabara za Rami kilomita 10, ila Mpaka muda huu naona kilometre 2 tu za TANROAD zimejengwa.
Mkuu, kumbuka Kahama ni potentials area, hivyo itakuwa vema miundombinu itengenezwe vizuri.

Pia nakukumbusha Mheshimiwa Raisi ulituahidi Hospitali ya Ghorofa ambayo itapewa hadhi ya Rufaa, tunakukumbusha.

Tunakukumbusha barabara ya lami kutoka Kahama mpaka Mwanza

Kumbuka Raisi, ishu za Mkoa kwetu siyo tija,ila tukumbuke MUNICIPAL.
Wewe ni shahidi kwa namna KAHAMA ilivyokua kwa speed na ongezeko kubwa la watu,
Naendelea kukumbusha Ndugu Raisi,
Stand kuu ya mabasi Kahama haifai kulingana na hadhi ya Mji........

NAKUKUMBUSHA NA NITAENDELELEA KUKUMBUSHA NDUGU.
 
Ongezea mkuu - Kahama kama ilivyo Masumbwe zaweza kuwa na wapiga notorious kuliko hata walioko Dar labda kwa sababu ya stand zenyewe kama ulivyomkumbusha mheshimiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom