Tunakujengea Nyumba Hizi na Kukukabidhi kwa Tshs.32 au 26 au 15 Milioni Ndani ya Siku 50!

Drimhomz

Senior Member
Nov 30, 2016
120
80
Tunakujengea na kukukabidhi Nyumba Hizi

*** Ndani siku 50 kwa Makubaliano *** +255 657 685 268

"Ni Haki Yako Kuishi Nyumba Nzuri na Salama!"

Specifications:
* Bati Kawaida za rangi 30G
* Dari ya Gypsum
* taa ndani na Nje za urembo
* Ukuta ndani rangi Wash&Wear
na
Bafuni Marumaru Ukutani
* ukuta nje rangi Weather guard
na
Tofali zilizo chorwa
* Dirisha mbao gums yenye kioo na nondo
* milango nje mbao gums
na
ndani Hollow core
* Sakafu Marumaru
* choo cha kukaa na kuchuchumaa, sinki la kunawa mikono, treyi ya kuogea, makabati jikoni na meza dining
* kuta na msingi ya tofali, linta

* Kiwanja ni chako
* Kiwanja chako kiwe katika eneo ruksa kwajili ya makazi

==> Waweza jenga hadi kwa awamu tatu*

Msingi
Kuta
Paa____________________________AWAMU No. 1
Milango na Madirisha
Bomba na Mashimo____________AWAMU No. 2
Umeme
Finishing_______________________AWAMU No. 3

*** Makubaliano yote kwa njia ya mkataba wa kisheria
*** Gharama yaweza kupanda kiasi Kutegemea na hali ya KIWANJA na UDONGO
*** Gharama yaweza shuka kama baadhi ya vitu vitapunguzwa

==> Au upo busy na kazi na majukumu?
na
Unataka kilicho bora?
na
Ikutoshe na familia yako?
na
Kwa Gharama Nafuuu?

==> Huna haja ya kuumiza kichwa juu ya Usimamizi

==> Ujenzi na Usimamizi chini ya wataalamu Wahandisi

==> Kila kitu kwetu na Kujenga katika ubora

==> Wewe unawajibika tuu
- kiwanja kilicho sehemu ya makazi
- mtaji wa pesa cash
- kupangilia ulinzi site

+255 657 685 268

Untitled145.jpeg
 
Mnajenga kwa gharama zenu na mmiliki kuwalipa polepole kwa makubaliano???
Kama ndio piga 0784541220
 
Duuuuh eeeeh kweli sasa pesa inatafutwa si mchezo
Nawapongeza kwa ubunifu wa namna hii lakini msiwe matapeli tu.
 
View attachment 506148
Wekeni namba za vodacom niwapigie nimeomba three times mbona hamko serious na biashara
 
Wewe ndiyo hauko serious, kwenye hiyo post uliyoiquote haujaona kabisa namba au?

Naona hujaelewa nilicho kiandika kabisaaa Hebu rudia kusoma nilichokiandika tena
Jitahidi kabla huja comment kitu soma uelewe unachokoment kwanza
 
Naona hujaelewa nilicho kiandika kabisaaa Hebu rudia kusoma nilichokiandika tena
Jitahidi kabla huja comment kitu soma uelewe unachokoment kwanza
Sasa nduguyangu kama kupiga simu kwenda mtandao mwingine tu shida paka unawaambia wenzako hawako serious na biashara....!
 
Sasa nduguyangu kama kupiga simu kwenda mtandao mwingine tu shida paka unawaambia wenzako hawako serious na biashara....!
Kaka
Nina sababu za msingi kuomba hivyo sijifurahishi Siko nchini kwa sasa
 
Mnajenga kwa gharama zenu na mmiliki kuwalipa polepole kwa makubaliano???
Kama ndio piga 0784541220
Karibu sana

Malipo ni cash. Bado hatujawa na mkopo

Everything is intelligently designed and calculated

Agreements are under LAWYER'S contract

Ni Haki Yako Kuishi Nyumba Nzuri!

+255 657 685 268
 
Duuuuh eeeeh kweli sasa pesa inatafutwa si mchezo
Nawapongeza kwa ubunifu wa namna hii lakini msiwe matapeli tu.
Karibu sana

Everything is intelligently designed and calculated

Agreements are under LAWYER'S contract

Ni Haki Yako Kuishi Nyumba Nzuri!

+255 657 685 268
 
Wewe ndiyo hauko serious, kwenye hiyo post uliyoiquote haujaona kabisa namba au?
Hivi mtu anayetaka kujengewa nyumba yenye thamani ya zaidi ya 16ml anashindwa kununua vocha ya kupiga mitandao yote?
Kwa ubahili huu atawezaje kulipia ujenzi!
 
Back
Top Bottom