Zanzibar 2020 Tunakubaliana na maridhiano, lakini Maalimu Seif na ACT Wazalendo lazima muwajibu Watanzania haya

Chadema mmeumia Sana,hasa mkikumbuka vile Tundu alivyovuka maji kwenda kumpigia Debe sefu
Cdm ni taasisi kubwa sana hapa duniani,inaheshimika kila kona ya dunia hii.

Huwezi kuilinganisha na mchicha wa kinasila
 
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuwachukulia serious wapinzani tulio nao sasa hivi, nafikiri upinzani wa kweli ulikufa 2015.
 
Naomba nichangie kidogo kwa hatua iliyofikiwa leo kwa Maalim Seif kuingia katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Kwanza niseme mimi ni muumini wa maridhiano na ninaunga mkono "dhana" ya maridhiano iliyofikiwa leo pale Zanzibar.

Tumehoji hapa kwamba ni makubaliano gani ambayo ACT na CCM wameyaweka mezani hadi kufikiwa maridhiano ya leo ili kesho yasijirudie haya? Bado hatujibiwi tunarudishwa kwenye kichaka kanakwamba sisi hatujui historia ya Zanzibar.

Mfano Chadema imeweka mezani msingi wa maridhiano ya kitaifa kati yake na CCM ambayo ni 1. Kutambua kuwa uchaguzi ulikuwa batili, 2. Kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi, 3. Mchakato wa Katiba Mpya ya Warioba kuendelea
Mkuu Yericko Nyerere , kila siku huwa najiuliza, kwanini Chadema always ina fail?. Sasa ndio naanza kuielewa why and where!. Chadema haina kabisa ma strategists!, that is why it's a failed party!. Kama watu menyewe ndio kama hawa!.
  1. Kilichofanyika jana ni utekelezaji tuu wa matakwa ya katiba ya Zanzibar na sio majadiliano wala mwafaka wowote mpya.
  2. Kitendo cha Maalim Seif kukubali kujiunga na CCM kwenye GNU ni kuitambua serikali ya Dr.Mwinyi, kuyatambua matokeo na kutambua uchaguzi, hivyo ni kukubali matokeo, hivyo aliyeafiki ni Maalim.
  3. Baada ya ule mwafaka uliozaa GNU, kumefanyika chaguzi 3 na huwa hakunaga tena mazungumzo ya mwafaka. Matokeo yakitoka na yakiisha tangazwa, aliyeshinda ameshinda, the winner takes it all na aliyeshindwa ni the loser standing small. Hakuna madajidilano wala mazungumzo. Ni au ukubali matokeo ukaribishwe meza kuu au ukatae ukafie mbele!.
  4. Kwa Chadema, kiukweli hayo mnayoyafanya ni ujinga, utoto na you shows all signs of immaturity!. Huku mfumo wetu wa uchaguzi ni the winner takes it all, the loser standing small!, sasa nyinyi mshindwe halafu mseti conditions, mnamsetia nani?.
  5. Mimi kwa upande wangu nimeisha washauri Chadema the right thing to do, it's do or die, the choice is yours.
P
 
Brother Paschal punguza propaganda uchwara za kiccm
 
Mkuu Lizarazu , acha kuniletea lizarau, jf tunabishana kwa hoja, au kwa kuunga mkono au kwa kupangua hoja. Huu sio uwanja wa propaganda!.
P

"Matokeo yakitoka na yakiisha tangazwa, aliyeshinda ameshinda, the winner takes it all na aliyeshindwa ni the loser standing small. Hakuna madajidilano wala mazungumzo. Ni au ukubali matokeo ukaribishwe meza kuu au ukatae ukafie mbele

Hizi ndio propaganda za kizandiki ambazo utazikuta sana huko ccm ninazoziongelea hapa.
 
mimi ni Mtanzania halali , napaswa kuyafuatilia yanayojiri kwenye nchi yangu
Ni kweli lakini sio kupangia wenzio nini Cha kufanya
Tatizo lenu chadema mnajiona mna haki ya kuwa wapinzani pekee,!mmepigwa chenga ya mwili,mmekasirika sana
 
Hivi chadema waliwahi kueleza ilikuaje wakatuletea Lowassa na walifaidika vp?

Wachadema watueleze kwanini hizo chaguzi zote zilizopita walikubali kwenda bungeni japokuwa zilikuwa chaguzi zisizo kuwa huru na haki?
 
Back
Top Bottom