Tunakosea wapi kuoa/kuolewa?

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,817
11,485
Siku hizi ndoa nyingi zinavunjika na nyingine migogoro haiishi, lakini siku tunapata muda wa kuwachunguza wenzi wetu kabla ya kuoana, je, tunakosea wapi, mbona zamani watu walioana hata hawajuani lakini ndoa zilidumu. Siku mtu anakaa uchumba miaka 5 lakini wakishaoana ndoa inavunjika tatizo ni nini?
 
1467756741437.jpg
 
miaka hii.. kuoa ni sawa na kusajili kampuni..., dont get rest... its work, unatakiwa kua na goals, kpi, performance analysis etc.
kwa ushauri wangu... usioe (kama hujaoa bado)
 
Molembe,iko hivi,mwanamke ukimuoa anakuja na picha yake kichwani kwamba ataishi hivi,hela ya chakula utamuachia kwa siku 20000 kwa siku,mwisho wa mwezi utampa 100000 za kufanya matumizi yake kila mwezi,na hii yote ni kwa sababu amekukuta pale una nyumba yako ya kawaida 4 rooms,na kigari chako.hajui ulikopa sana mikopo kazini ndo ukavipata hivyo.sasa leo kaingia anajua ataishi maisha ya kifahari kumbe maisha ni yaleyele tu,leo dagaa,kesho maharagwe na keshokutwa mchanganyiko wa utumbo na mchicha.sasa anapoona maisha sio kama yale aliyoyategemea ndipo anapoona amekosea,analianzisha ili muachane akajaribu kwingine,
 
La msingi usipoteze fikra nyingi kwa wanawake,kwanza wao hawatupendi ila sisi tu hua hatujui,la muhimu penda na jali wanao tu,kuna mtu aliwahi andika humu nanukuu DO NOT LOVE WOMAN LOVE ONLY YOUR PRODUCT
 
Zamani, umaskini ulichangia kuwafunga wake kwa waume zao. Wanaume walimiliki njia zote za uzalishaji mali na ardhi. Mwanamke hakuwa na chake, so ilimlazimu a stick na mume, Hata kama mume angekuwa abusive kiasi gani. Plus, culture kwa kiasi fulani, ilichangia. Wanawake wa leo wana kipato, plus utandawazi umewaafekt. A natarajia mkioana muwe na mapenzi kama ya kwenye tamthilia za kifilipino. Mkizinguana kidogo tu hao ni shida kwenda kwake. Na hizi idea za u sawa za fifty/ fifty ndo balaa.
 
Tatizo watu wakiingia katika uchumba basi ngono kwenda mbelee inafikia hatua mpaka wanapata mtoto/watoto kabla ya ndoa amabapo ikifikia hatua yakuwa kwenye ndoa kunakuwa hakuna jipyaa maana yoote wamishamaliza huko nyuma sasa hapa ndio mti unaanza kuchepukia kwenginee ndipo mwanzo wa migogoro namwisho wasiku hutengana so nawashauri wale walio kwenye mahusiano wajichunge sana wawahakikishe wakiingia kwenye ndoa wanaifurahiaa nakuona faraja yakuwa wanandoa tusiendekeze zinaa
 
miaka hii.. kuoa ni sawa na kusajili kampuni..., dont get rest... its work, unatakiwa kua na goals, kpi, performance analysis etc.
kwa ushauri wangu... usioe (kama hujaoa bado)
Aendeleee kuisha kibachela
 
Kwani kwenye ndoa ni ngono tu? Na unataka kutuaminisha kuwa wazee wa jamani walikuwa hawachepuki?
 
Molembe,iko hivi,mwanamke ukimuoa anakuja na picha yake kichwani kwamba ataishi hivi,hela ya chakula utamuachia kwa siku 20000 kwa siku,mwisho wa mwezi utampa 100000 za kufanya matumizi yake kila mwezi,na hii yote ni kwa sababu amekukuta pale una nyumba yako ya kawaida 4 rooms,na kigari chako.hajui ulikopa sana mikopo kazini ndo ukavipata hivyo.sasa leo kaingia anajua ataishi maisha ya kifahari kumbe maisha ni yaleyele tu,leo dagaa,kesho maharagwe na keshokutwa mchanganyiko wa utumbo na mchicha.sasa anapoona maisha sio kama yale aliyoyategemea ndipo anapoona amekosea,analianzisha ili muachane akajaribu kwingine,
Pamoja na hayo inategemeana katika mchumba wenu umemset kivipi, wanasema a woman is like an empty computer it operate according to the software, kwahiyo kama umemzoesha hivyo lazima moto uwake ndan ya house
 
Hakuna tunapokosea ila lack of commitment ndio inaplay part hapo

Cha pili ni great expctation za wake tunaooa kutokana na jinsi tunavyowaaproach kwa mbwembwe na kitamthilia.

Cha tatu hakuna seriousnes kutoka kwa familia zetu hivyo hata sisi tunakosa userious kwenye hizo familia tunazoanzisha
 
miaka hii.. kuoa ni sawa na kusajili kampuni..., dont get rest... its work, unatakiwa kua na goals, kpi, performance analysis etc.
kwa ushauri wangu... usioe (kama hujaoa bado)
Wewe umeoa mkuu?
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom