Tunakopesha fedha kuanzia 50,000 mpaka milioni 2.

billykelly

Member
Mar 30, 2012
8
1
Tunakopesha pesa kuanzia 50,000 mpaka milioni 2. masharti lazima uwe na dhamana. ili kuweza kujua tunapatikana wapi na dhamana gani tunazochukua wasiliana nasi kwa namba 0716 632593 / 0718 585858 na 0782 383838
 
Nataka 2,000,000/= kwa miezi minne. dhamana ninazo -gari au nyumba -zipo Dar. Riba kiasi gani mkuu?????
 
Acha kujigamba na maelezo yasio na vigezo na masharti. Awe na dhamana ya kitu gani? Pili awe na sifa zipi? Muda wa kurejesha ni lini tangu achukue mkopo? Riba yenu ni kiasi gani? Na mengine nitaendelea.....
 
Nahitaji mil6 nina dhamana ya viwanja vi3 @dhamana ya mil2 viwanja hvyo evaluation yake ni kimoja mil16 kingine mil10 na kingine mil8,je interest ni sh ngapi?
 
Ninyi ni Saccos, bank, financial au mmesajiliwa kama taasisi ya kukopesha? isije ikawa wanyewe 'mmeokota' mil 2 halafu mnataka kukopesha watu kwa njia ya wizi ya riba ya 30-50%, maana ulivyoandika haionyeshi kabisa kama ni watu serious.
Weka wazi vigezo na mashariti ya mkopo, jina la kampuni na mahali ilipo, usajili, na vitu vingine muhimu which will attract your prospective customers. This money business, haiwezi kufanyika vichochoroni tu...!
 
Nataka 2,000,000/= kwa miezi minne. dhamana ninazo -gari au nyumba -zipo Dar. Riba kiasi gani mkuu?????
Riba ni asilimia 20% kwa yeyote anaehitaji zaidi ya milioni 2 anaweza kupata, tunapatikana mtaa wa jamhuri kwa mawasiliano tumia namba zetu hapo juu.
 
mbona hamueleweki? kuweni wawazi jamani,,tunahitaji hiyo kitu

Achaneni na mikopo hii watanzania, mikopo isiyo na tija yaani hawa ni wale wakukomba mpaka stuli ukishindwa lipa wanadhalilisha hawa, watakuja mchana kweupe wataita watu wanakubebea mpaka vijiko vya ndani, unadhalilika....kwanza mtu ukope elfu 50 ya nini alafu riba 20% Dah, mimi ningeshauri msiangaike na mkopo kama hii inadhalilisha waulize akina mama kule succoss, waulize walimu wenzangu wa Grade A + Diploma kule vijijini walivyokimbia kazi kwa mikopo kama hii! Wee
 
Back
Top Bottom