Tunakoelekea: Itakuwa ni Aibu Mtu Kujitangaza Anaunga Mkono CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunakoelekea: Itakuwa ni Aibu Mtu Kujitangaza Anaunga Mkono CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Mar 27, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  bahati mbaya jamani mimi siyo ngwini. siwezi kuandika vitu vingi. lakini ukweli ni kuwa tunakoelekea itakuwa ni aibu mtu kusimama na kusema ni mwana-ccm.

  kama thread hii inaboa, please mods, take it to archive.

  yakitimia mtaileta jamvini tuijadili.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280

  kumbukumbu zangu zinaonesha zomeazomea za jk wakati wa kampeni katika maeneo yenye raia wenye uelewa.

  leo naambia mtu kashushwa jukwaani kwa kujifanya mzalendo kuliko watanzania. uzalendo kinondoni?

  sijasahau jiwe la kisogo alilopigwa mtikila baada ya kugeuka mpiga debe wa chama cha mafisadi pale tarime.

  sijasahau ridhiwani alivyotimuliwa kwenye jengo la shule alilotaka kuligeuza pango la harakati za uvccm.

  orodha ni ndefu.
   
 3. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  chama kimebaki na ushawishi kwa kutumia fedha na masimulizi 'hadaa' ya amani na utulivu.

  sisi tusio na fedha tufanyeje? dawa ni kuwakataa tu. tunataka mabadiliko.
   
Loading...