Tunako kwenda wapi?

King klax

JF-Expert Member
Jul 10, 2015
4,293
2,739
Serikali hii inafanya kupiga maarufuku biashara ya mtumbuaji wakati tukiwa hatuna viwanda vya nguo. Ikumbukwe kwa mfano huku MBEYA mikoa mzima si chini ya watu 100000 wanajihusisha na hiyo biashara wakiwamo mama ntilie wakiwa pembeni yao. Je kwa kila mkoa je ajira ngapi zitapotea, naiomba hii sirikali iwe inafikiria na siyo kukurupuka tu. Iondoe kwanza bidhaa zingne feki na siyo mitumba ambayo inatusaidia ss wa hali ya chini.
 
Back
Top Bottom