Tunakisubiria kwa hamu chama mbadala wa vyama vya CCM na Chadema

Blackafrica

Senior Member
Jun 26, 2021
141
401
Wajumbe bila shaka yoyote tunakubaliana, hivyo vyama viwili vimekosa mvuto na haviaminiki kama vinaweza kutuvusha katika daraja maendeleo ya uchumi nchini Tanzania. Vyama vyote vipo kibinafsi zaidi, havina dira wala ajenda za kimaendeleo zinazoeleweka na kukubalika kwa jamii ya watanzania wengi ambao wanaishi maisha ya ufukara huku tabaka la wachache wakineemeka na nchi hii.

Tukipata chama ambacho kitaundwa na masalia ya mwendazake mfano watu smart kama kabudi na watu kutoka makundi mbali mbali naamini watatuvusha kuelekea Tanzania tunayoitamani. Hii ni fursa kubwa sana watanzania wengi tuko tayari kukiunga na kukipigania chama mbadala wa chama tawala cha CCM na chama cha upinzani kwa sasa Chadema.
 
Shida ipo katikati ya masikio yetu mawili ... Hata chama kishuke kutoka KWA Allah au Yehova au Ruwa hakuna kitakachobadilika.
 
Back
Top Bottom