Elections 2010 Tunakazi ya kuwaelimisha vijana zaidi CHADEMA

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Baada ya kupata nafasi kubwa sana Bungeni na kuweza kutoa Kiongozi wa kambi ya upinzani,, sasa tumejiwekea nNafasi nzuri kwakuwa na wabunge wengi kuliko vyoama vyote pinzani...

Tunawashukuru Watanzania wote wanaopenda maendeleo ya Tanzania na wale ambao hawapendi Maendeleo kwa maana baada ya kupata maana ya hiki tunacho kifanya mutabadilika tuu ndiyo tunaamimi hivyo..

Kazi yetu sasa ni Kuwaelimisha vijana wengi sana walioko mashuleni kwamaana wao ndio watakao piga kura kwa mwaka 2015,, Tunaamini vijana wa sasa wanazaliwa wakiwa na upeo wa Kimaendeleo, na vision ya kuwa na nchi nzuri yenye uchumi imara,,

Tunaomba mutuunge mkono kwa kazi tuliyo nayo,, vijijini kwakuwa huko ndiko hatujapata suport kubwa sana,, Mikoa ya Kusini Mtwara na Lindi,, pia Wilaya ya Tunduru ambayo imesahaulika kama ni moja ya Sehem ya Msumbiji,, na Wana Tunduru wanalidhika na Hali hii,,

Peopleee power inataka kuomba suport katika kuwaelimisha vijana wajiunge na chadema nakuichagua chadema mwaka 2015,, karibuni sana CHADEMA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom