Tunakazi mbili watanganyika, 1.kudai Tanyanyika yetu, 2. kumuondoa mkoloni ccm! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunakazi mbili watanganyika, 1.kudai Tanyanyika yetu, 2. kumuondoa mkoloni ccm!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Che-lee, Jul 7, 2011.

 1. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inauma sana Tanganyika yenye takriba watu mil 40 kumezwa na Znz yenye watu mil 5! Huku tukiwa tunaugulia hilo, chama cha mapindu kimegeuka kuwa genge la wezi wa laslimali za tanyanyika! Na sema kwa nguvu kuwa chama mapinduzi ni chama mumiani ambacho sisi wa Tanganyika hatukijui, Tunaitaka TANU yetu yenye uchungu na nchi hii!!!Ndugu wana jf hasira zinanipanda ngoja niishie hapo tu na nyie semeni!!!
   
 2. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  yes you are talking.
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,208
  Likes Received: 3,773
  Trophy Points: 280
  Naunga mkono hoja kwa 100%Tunataka bendera ya TanganyikaTunataka wimbo wa TanganyikaTunataka ccm ituachie nchi yetu Tg
   
 4. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Watu mil 5 Zenguerbar watoe wapi? Hawazidi milioni ila ndio hivo tena wametuzidi kila kitu, na kelele pia!
   
 5. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kama unataka TANU kamfufue Nyerere, Kawawa, Kolimba, nk! Na kama unaitaka Tanganyika ukamrudishe Mjerumani atakuja kukuonyesha mipaka yake! Otherwise ondoa kamasi kichwani mwako mtoa mada!
   
Loading...