• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Plot4Sale Tunakata Viwanja, Kimara - Dar es Salaam

Bestates Tanzania

Bestates Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
300
Points
500
Bestates Tanzania

Bestates Tanzania

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
300 500
• Sehemu: Bonyokwa mwisho karibu na kituo cha daladala za Mnazi mmoja na Muhimbili
• Bei: TSh 6,000,000 kwa mita 20 x 20
.
eneo ni tambalale • sehemu imejengeka • huduma za maji na umeme zipo • nauli ya bodaboda ni Sh 1000 kutoka kituo cha daladala
.
Call/WhatApp: +255679047446 / +255767257788
2276978_IMG_20200118_001936_563.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forbes1990

Forbes1990

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Messages
488
Points
1,000
Forbes1990

Forbes1990

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2018
488 1,000
Yaani mnakata kiwanja 14×14 hamuoni Kama mnatengeneza kichaka Cha makazi ...


Nashauri serikali chini ya Wizara husika ingekuwa inapitia Hawa wakataji viwanja kuwa waanzie angalau iwe 20×20...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bestates Tanzania

Bestates Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
300
Points
500
Bestates Tanzania

Bestates Tanzania

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
300 500
Yaani mnakata kiwanja 14×14 hamuoni Kama mnatengeneza kichaka Cha makazi ...


Nashauri serikali chini ya Wizara husika ingekuwa inapitia Hawa wakataji viwanja kuwa waanzie angalau iwe 20×20...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumekuelewa… tutasimamia 20 x 20. Mtu akija na ombi la size chini ya hapo, tutamleta kwako umshauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bestates Tanzania

Bestates Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
300
Points
500
Bestates Tanzania

Bestates Tanzania

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
300 500
Mapinga ni 3M kwa 20x20 karibu na barabara ya Bagamoyo! Huoni huku Banyikwa ni mbali sana hata na Makabe
Wewe toka Mapinga na mimi nitoke Bonyokwa tukutane pale Posta mpya halafu tuone nani atafika mapema. Tufanye mchana ambapo usafiri wa kuingia mjini unapatikana kirahisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bestates Tanzania

Bestates Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
300
Points
500
Bestates Tanzania

Bestates Tanzania

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
300 500
Mapinga ni 3M kwa 20x20 karibu na barabara ya Bagamoyo! Huoni huku Banyikwa ni mbali sana hata na Makabe
Hivi kuna daladala zilizoandikwa Mapinga - Posta au Mapinga - Gerezani au Mapinga Mawasiliano au hata Mapinga - Makumbusho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,402,632
Members 530,953
Posts 34,400,565
Top