tunakagua matatizo ya magari aina zote kwa kutumia kifaa maalum cha computer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tunakagua matatizo ya magari aina zote kwa kutumia kifaa maalum cha computer

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by dibbo, Jun 5, 2011.

 1. dibbo

  dibbo Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wana jf,kama gari lako lina tatizo na umeshindwa kujua ni nini,basi piga simu number 0715 367 367,tunakagua gari kutumia diagnosis tool kuangalia engine,gaer box,body parts zote ndani na nje pamoja na chassis yaani brake system,ukiona taa CHECK ENGINE inawaka kwenye gari lako basi leta tukague 0715 367 367 tupo OILCOM SAKINA,ARUSHA
   
 2. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Poa. ujumbe umefika
   
 3. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Wapi, nyumbani au?
  Asante kaka.
   
 4. Kitty Galore

  Kitty Galore JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 347
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mpo Arusha sehemu gani? ni lazima kuwapigia simu au mnaweza mkasema eneo mlipo watu wakaja? msitufanye tukaona hii biashara ni ya magumashi bana
   
 5. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kufanya diagnosis mnacharge sh'ngapi?
   
 6. dibbo

  dibbo Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tupo arusha oilcom sakina,na kama gari lako haliwaki au limeshindwa kuja tunakufata ulipo,tunacharge 50000 kwa gari itakayokuja oilcom sakina na kwa gari itakayofatwa ni 60000
   
 7. s

  sawabho JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Ujumbe umefika.
   
Loading...