Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Rais amejichanganya katika hili,Kwa sisi tunaomjua,Rais alipolisifu gazeti kwenye hotuba ya kuongea na wazee wa Dar hakutangaza masilahi.Wengi tunajua uhusiano wake na chombo hicho alichosifia.
Chazo:Mwanahalisi Page 11
..............................................................
Maneno hayo hapo juu,Yanapatikana kwenye ukurasa wa 11 wa gazeti la mwanahalisi la February 15/2016
Nimejiuliza bila kuelewa,Ina maana rais alilipa promo gazeti la Jamhuri kwa sababu za kimaslahi?
Nimejiuliza Rais anahisa kwenye gazeti hilo?
Hivi mmiliki halali wa gazeti la Jamuhuri ni nani?
Upi uhusiano wa gazeti la Jamuhuri Na Rais?