JokaKuu
Platinum Member
- Jul 31, 2006
- 30,441
- 55,017
Mkuu JokaKuu , kwa mujibu wa sheria iliyounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC, ni Tume Huru, ila sio shirikishi.
PPascal Mayalla: NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama lilivyo bunge na mahakama kwa sababu vyote hivi msingi wake ni Rais
Mwandishi mkongwe na mwanasheria nguli Pascal Mayalla amesema NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama zilivyo Mahakama na Bunge. Pascal amesisitiza kuwa Rais wa JMT ndio msingi wa taasisi zote hizo hivyo zote zipo huru kwa namna zilivyoundwa na katiba. Pia Pascal amempongeza Rais Magufuli kwa...www.jamiiforums.com
..ripoti mbalimbali zimeeleza kwamba tume yetu ya uchaguzi sio huru.