Tunajua juzi tu Rwanda iliadhimisha miaka 25 ya mauaji ya Kimbari

Mauaji ya Kimbari ni dhidi ya Watutsi japo inawezekana wasio Watutsi waliuawa

Kundi la Interahamwe lilikuwa la Kihutu na liliua Watutsi japo RPF chini ya Generali Kagame nayo iliua Wahutu kadhaa

Anaeshinda vita Siku zote sio huwa Mwandishi wa vita husika

Unadhan kwenye Second World War Adolf Hitler ndio angeshinda ile Vita angeitwa Muuaji katili wa muda Wote?

Hata sie 1978-79 Iddy Amin angefanikiwa kwenye ile vita Julius Nyerere ndio angeitwa Muuaji katili anaekula vichwa vya Watu
 
Mfaransa ndio aliesababisha vita ile halafu mtu akilipua Paris na hasira za watu laki 8 waliokufa watashangaa
Wazungu ni wanafiki na sisi ni wapumbavu na wajinga
Wachochezi ni wao wenye tamaa za mali zetu na kuna wajinga wanaenda kutafuta misaada kwao kwa kuahidiwa kulindwa na wanaanza kuunda jeshi la uasi
Halafu baada ya miaka 15 wanakugeuka na kuchonganisha tena na wewe unauwawa na wananchi wako

Halafu anakuja mwingine tena na kutawala na wao wazungu wanachekelea kwa kuchota mali zetu mafala
Eti tunataka democracy don't make me laugh

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Ukiangalia Rwanda Tv kipindi kama hiki wanakwambia ni 'Kwibuka genocide yakorewe Abatutsi" wakimaanisha kumbukumbu ya genocide waliyofanyiwa Watutsi wakati uhalisia ni kua mauaji yalikua ni kwa watutsi na wahutu wenye msimamo wa wastani ambao wote hawa waliuliwa na Wahutu laikini pia kuna watutsi waliowaua wahutu kama revenge so wahutu wanaponyima nafasi na wao kuomboleza sioni kama ni haki na hii inachochea chuki zaidi.
Hiki ndicho nimemaanisha katika huu uzi majuzi nikiwa Rwanda sikuamini kiongozi wanchi alichokuwa akisema nilimuona Mh Mkapa kama anatafuna meno kwakuwa Mzee wangu namjua kama kitu akiingii akilini mwake huwa anatafuna meno ila kwakuwa ataki kukwaza anakaa kimya ila PK alisema "Watutsi waliuwa katika siku 100 natutaendelea kuomboleza watutsi wahizo siku" Swali kwa matamshi hayo wahutu wanaweza kufika katika hayo maadhimisho??kwanini hayo maadhimisho yasiwe ya kitaifa na siyo yakitutsi??bado Wana safari ndefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kambi za wakimbizi hazifungwi kijeshi maana humo utaumiza wanawake wazee na watoto wenye kutafuta hifadhi

Ulitaka RPF ifanye nini wkt Hizo kambi huko Congo hao interahamwe waliendelea kuzitumia kama training camps na kuja kufanya mashumbulizi ndani ya Rwanda na bado pia waliendelea kuchinja watutsi huko huko kwny makambi ndani ya Congo.

Na hao hao interahamwe walikua wanazuia wakimbizi kurudi makwao,huku inawachinja wakimbizi wa kitutsi walioko ndani ya Congo hapohapo inawazuia wakimbizi wa kihutu kurudi Rwanda kwa kuwaambia RPF itawaua wahutu wakirudi Rwanda.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni kweli! Ila inasemekana walikuwa wameshikiliwa mateka na wapiganaji waliokuwa na silaha humo kambini na hawakuruhusiwa kurejea nyumbani.

Na huo ndio ukweli,kwanza hao wahutu washukuru Kagame alikua moderate kuna watutsi ni hardliners pale RPF wangewamaliza hao wahutu kama sio Kagame kuwatuliza na kuwaua baadhi ya watutsi wenzake humo humo ndani waliokua wana kiu ya kulipa kisasi.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kiukweli hawapaswi kulaumiana jamii fulani sababu wote walishiriki ktk hayo mauaji na baadhi ya mataifa walijitahidi kuwasuluhisha kabla ya hayo machafuko nakumbuka hao maraisi wa rwanda n burundi walitunguliwa wakitokea Tz ktk kikao cha usuluhishi ...lkn ss Pk amekuwa akimtupia lawama kila taifa analo gombana nalo ...nilisikia kipindi kile katibuana na JK alidai Tz inawafich waasi wa FDLR JK akatimua warwanda woteee kule magharibi mwa nchi then rwanda waka pandisha rod toll kubwa kwa magari yatokayo Tz haikutosha baadhi ya vyombo vya habari vikaanza kusema oh wa tz ile nchi sio yao mara wengi wa tz ni wa congo mara wakasema mke wa jk ana undugu na aliyekuwa raisi wa rwanda yule aliyetunguliwa ......
 
Hio ya mke wa JK kua na undugu na huyo rais aliyetunguliwa ilivujishwa na mtandao wa wiki leaks na hivyo vyombo vya habari vya Rwanda vikaandika kama wiki leaks walivyosema.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mauaji ya Kimbari ni dhidi ya Watutsi japo inawezekana wasio Watutsi waliuawa

Kundi la Interahamwe lilikuwa la Kihutu na liliua Watutsi japo RPF chini ya Generali Kagame nayo iliua Wahutu kadhaa

Anaeshinda vita Siku zote sio huwa Mwandishi wa vita husika

Unadhan kwenye Second World War Adolf Hitler ndio angeshinda ile Vita angeitwa Muuaji katili wa muda Wote?

Hata sie 1978-79 Iddy Amin angefanikiwa kwenye ile vita Julius Nyerere ndio angeitwa Muuaji katili anaekula vichwa vya Watu
Ni nani alitunguwa ile ndege iliyobeba wale Marais?
 
Hasa wengi wao walikufa walikuwa ni wahutu. Ukianzia kibeho rwengeri kibuye kikongoro nk watu walikufa wengi hasa wahutu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wahutu wengi walikufa hawajahesabiwa pale ilikua niue kabla sijakuua,ni wahutu ndio walikua wahutu,so kiukweli tutsi waliperembwa sana,na uchache wao ndio hiyo propaganda inatumika mpk leo kwamba mauaji ilikua wafutike kabisa.
Sasa baada ya hapo fwatilia kilichotokea Congo hapo.Kayumba Nyamwasa akiwa incharge
 
Ulitaka RPF ifanye nini wkt Hizo kambi huko Congo hao interahamwe waliendelea kuzitumia kama training camps na kuja kufanya mashumbulizi ndani ya Rwanda na bado pia waliendelea kuchinja watutsi huko huko kwny makambi ndani ya Congo.

Na hao hao interahamwe walikua wanazuia wakimbizi kurudi makwao,huku inawachinja wakimbizi wa kitutsi walioko ndani ya Congo hapohapo inawazuia wakimbizi wa kihutu kurudi Rwanda kwa kuwaambia RPF itawaua wahutu wakirudi Rwanda.

Sent from my iPhone using JamiiForums
In short watusi ni watu wenye roho mbaya sana kama ilivyo kwa wahutu kuwa na roho mbaya.Wote wameuana utofauti ni idadi tu ambayo siwezi kujua waliokufa wengi zaidi ni wepi kwa % kutokana na uwingi wao.
Vita itaanza tena kwa kuwa mshindi wa ile vita ni mtusi sasa mhutu anatafuta njia ya kushinda upya.
Hata wanaojiita wanasali wahutu na watusi ukweli ni zero maana unafiki ni mkubwa mno kwao.
Mungu ni roho yawapasa wamwabuduo wamwabudu ktk roho na kweli.

Inawezekana hata hawa wabongo wanaoua albino na kuua vikongwe kisa wana macho mekundu huko shy/mwanza/geita,wanaoteka watoto wadogo huko njombe na kuwanyofoa sehemu zao mbalimbali za mwili wakawa watusi na wahutu pia maana na wao wana roho mbaya sana na wanashinda kanisani/misikitini wakisali sana tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni nani alitunguwa ile ndege iliyobeba wale Marais?

Serikali ya Rwanda wkt huo chini ya kanali bagosora(ambae alikua anajua huyo rais akitua hapo Kigali moja ya maazimio ya Arusha alikotoka kushiriki mkutano ni kushirikiana na RPF kuunda serikali na Bagosora hakua tayari ku share ulaji na watusi) na wafaransa ndio walitungua ndege ya Rais ndio maana hata kikosi cha umoja wa kimataifa UNAMIR kilipokuja huko uwanjani kuja kuitafuta ile blackbox ili wakafanye utafiti wao Huyo bagosora na hao wafaransa walikataa hicho kitu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom