KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
- Thread starter
- #21
Nimekuelewa kwa ID yako yapili Sema umechanganya madesaNamaanisha wewe Kakakiiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa kwa ID yako yapili Sema umechanganya madesaNamaanisha wewe Kakakiiza
Ni kweli! Ila inasemekana walikuwa wameshikiliwa mateka na wapiganaji waliokuwa na silaha humo kambini na hawakuruhusiwa kurejea nyumbani.Kambi za wakimbizi hazifungwi kijeshi maana humo utaumiza wanawake wazee na watto wenye kutafuta hifadhi
Hiki ndicho nimemaanisha katika huu uzi majuzi nikiwa Rwanda sikuamini kiongozi wanchi alichokuwa akisema nilimuona Mh Mkapa kama anatafuna meno kwakuwa Mzee wangu namjua kama kitu akiingii akilini mwake huwa anatafuna meno ila kwakuwa ataki kukwaza anakaa kimya ila PK alisema "Watutsi waliuwa katika siku 100 natutaendelea kuomboleza watutsi wahizo siku" Swali kwa matamshi hayo wahutu wanaweza kufika katika hayo maadhimisho??kwanini hayo maadhimisho yasiwe ya kitaifa na siyo yakitutsi??bado Wana safari ndefu.Ukiangalia Rwanda Tv kipindi kama hiki wanakwambia ni 'Kwibuka genocide yakorewe Abatutsi" wakimaanisha kumbukumbu ya genocide waliyofanyiwa Watutsi wakati uhalisia ni kua mauaji yalikua ni kwa watutsi na wahutu wenye msimamo wa wastani ambao wote hawa waliuliwa na Wahutu laikini pia kuna watutsi waliowaua wahutu kama revenge so wahutu wanaponyima nafasi na wao kuomboleza sioni kama ni haki na hii inachochea chuki zaidi.
Kambi za wakimbizi hazifungwi kijeshi maana humo utaumiza wanawake wazee na watoto wenye kutafuta hifadhi
Ni kweli! Ila inasemekana walikuwa wameshikiliwa mateka na wapiganaji waliokuwa na silaha humo kambini na hawakuruhusiwa kurejea nyumbani.
Kosa kubwa Sana hili huko Rwanda
Kiukweli hawapaswi kulaumiana jamii fulani sababu wote walishiriki ktk hayo mauaji na baadhi ya mataifa walijitahidi kuwasuluhisha kabla ya hayo machafuko nakumbuka hao maraisi wa rwanda n burundi walitunguliwa wakitokea Tz ktk kikao cha usuluhishi ...lkn ss Pk amekuwa akimtupia lawama kila taifa analo gombana nalo ...nilisikia kipindi kile katibuana na JK alidai Tz inawafich waasi wa FDLR JK akatimua warwanda woteee kule magharibi mwa nchi then rwanda waka pandisha rod toll kubwa kwa magari yatokayo Tz haikutosha baadhi ya vyombo vya habari vikaanza kusema oh wa tz ile nchi sio yao mara wengi wa tz ni wa congo mara wakasema mke wa jk ana undugu na aliyekuwa raisi wa rwanda yule aliyetunguliwa ......
Ni nani alitunguwa ile ndege iliyobeba wale Marais?Mauaji ya Kimbari ni dhidi ya Watutsi japo inawezekana wasio Watutsi waliuawa
Kundi la Interahamwe lilikuwa la Kihutu na liliua Watutsi japo RPF chini ya Generali Kagame nayo iliua Wahutu kadhaa
Anaeshinda vita Siku zote sio huwa Mwandishi wa vita husika
Unadhan kwenye Second World War Adolf Hitler ndio angeshinda ile Vita angeitwa Muuaji katili wa muda Wote?
Hata sie 1978-79 Iddy Amin angefanikiwa kwenye ile vita Julius Nyerere ndio angeitwa Muuaji katili anaekula vichwa vya Watu
Ni nani alitunguwa ile ndege iliyobeba wale Marais?
Wahutu wengi walikufa hawajahesabiwa pale ilikua niue kabla sijakuua,ni wahutu ndio walikua wahutu,so kiukweli tutsi waliperembwa sana,na uchache wao ndio hiyo propaganda inatumika mpk leo kwamba mauaji ilikua wafutike kabisa.Hasa wengi wao walikufa walikuwa ni wahutu. Ukianzia kibeho rwengeri kibuye kikongoro nk watu walikufa wengi hasa wahutu.
Sent using Jamii Forums mobile app
In short watusi ni watu wenye roho mbaya sana kama ilivyo kwa wahutu kuwa na roho mbaya.Wote wameuana utofauti ni idadi tu ambayo siwezi kujua waliokufa wengi zaidi ni wepi kwa % kutokana na uwingi wao.Ulitaka RPF ifanye nini wkt Hizo kambi huko Congo hao interahamwe waliendelea kuzitumia kama training camps na kuja kufanya mashumbulizi ndani ya Rwanda na bado pia waliendelea kuchinja watutsi huko huko kwny makambi ndani ya Congo.
Na hao hao interahamwe walikua wanazuia wakimbizi kurudi makwao,huku inawachinja wakimbizi wa kitutsi walioko ndani ya Congo hapohapo inawazuia wakimbizi wa kihutu kurudi Rwanda kwa kuwaambia RPF itawaua wahutu wakirudi Rwanda.
Sent from my iPhone using JamiiForums
In short watusi ni watu wenye roho mbaya sana kama ilivyo kwa wahutu kuwa na roho mbaya.Wote wameuana utofauti ni idadi tu ambayo siwezi kujua waliokufa wengi zaidi ni wepi kwa % kutokana na uwingi wao.
Vita itaanza tena kwa kuwa mshindi wa ile vita ni mtusi sasa mhutu anatafuta njia ya kushinda upya.
Hata wanaojiita wanasali wahutu na watusi ukweli ni zero maana unafiki ni mkubwa mno kwao.
Mungu ni roho yawapasa wamwabuduo wamwabudu ktk roho na kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nani alitunguwa ile ndege iliyobeba wale Marais?