Kati ya uteuzi uliofanyika kwa usahihi ni uteuzi wa Mhe. Lukuvi kuwa Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi.
Kwa muda mfupi aliokaa hapo Wizarani,Mhe.Lukuvi amerekebisha kasoro nyingi sana zilizojitokeza. Amehudhuria vikao vingi vya mikutano mikuu ya vijiji akisikilza kero za wananchi na kutoa ufumbuzi hapo hapo.
Mhe.Lukuvi tunakuomba sasa ufanye ziara katika Shamba la Utegi-Rorya ambalo Serikali iliwapa Vijiji sita vinavyozunguka shamba hilo lakini kwa hila Ndugu Otieno Igogo amawanyang'anya wananchi shamba hilo na kuimiliki yeye na familia yake.
Ndugu Otieno Igogo ameuza vifaa vya mabilioni vya shamba hilo pamoja na ng'ombe waliokuwepo wamebaki siyo zaidi ya ng'ombe 100. Tumewatuma wawakilishi wetu waje wamuone Mhe. Rais kumuelezea kilio chetu mpaka leo hawajapata nafasi ya kumuona Mhe. Rais. Utawala wa awamu ya nne iionea sana wananchi, kila tulipopleka kilio chetu hatukusikilzwa.
TUSAIDIE MHE. LUKUUVI.