Tunajifunza nini kwa Kifo cha Mtoto wa Nabii Bushiri Aka Major 1?

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,486
8,706
Mtoto wa Major 1 alie fariki wiki hii Nairobi nchini Kenya aliko kuwa akitibiwa kwa muda mrefu, ameugua muda kitambo na hadi kupelekwa Kenya kwa matibabu.

Ninacho jiuliza kila siku Nabii huwa anaombea Maelfu kwa Maelfu ya Watu hasa Wagonjwa, kuna wanao safiri kumfuata na wengine online pia.

Nabii ilishindikana kumuombea mtoto wake hadi kupelekwa nje ya nchi kwa matibabu?

Some time kuna Ujumbe Mungu anatuma kwa wafuasi wa hawa Manabii.

By the way RIP Mtoto Israela.
FB_IMG_1617394526367.jpg
FB_IMG_1617394573418.jpg
 
Najifunza, Ukiwa mtumishi wa Bwana ujue haupo katika nafasi ya Mungu na pia hau shauliani na Mungu mambo ya kufanya, Mungu hufanya atakalo na apendalo. Lakini Yatupasa kutunza ile amani ambayo Yesu Kristo alituachia, haijalishi majaribu kiasia gani tutapitia .. kila jaribu lina mlango wa kutokea. Mtoto anauma sanaaa,
 
Kuna video ili wahi kusambaa 2000, ilionyesha wachungaji uchwara wakienda kwa mganga kupata dawa ya kuvuta waumini makanisani mwao.

Dawa unaizika na ng’ombe akiwa hai. Ng’ombe akioza na kutoa funza ndiyo idadi ya waumini utakayopata.
 
...ndugu kufiwa na mtoto ni kitu kingine... Anastahili pole jamani. Kuwa mtumishi wa Mungu sio kinga ya kufiwa. Watumishi wa Mungu wanafiwa pia. Anastahili kutiwa moyo katika kipindi hili. Pole sana Bushiri, Mungu akutie nguvu.
Kusema hivyo wakati mtu amefiwa, labda uwe na uhakika asilimia Mia moja. Vinginevyo kaa kimya. Pole Bushiri
 
Mtoto wa Major 1 alie fariki wiki hii Nairobi nchini Kenya aliko kuwa akitibiwa kwa muda mrefu, ameugua muda kitambo na hadi kupelekwa Kenya kwa matibabu.

Ninacho jiuliza kila siku Nabii huwa anaombea Maelfu kwa Maelfu ya Watu hasa Wagonjwa, kuna wanao safiri kumfuata na wengine online pia.

Nabii ilishindikana kumuombea mtoto wake hadi kupelekwa nje ya nchi kwa matibabu?

Some time kuna Ujumbe Mungu anatuma kwa wafuasi wa hawa Manabii.

By the way RIP Mtoto Israela.View attachment 1741705View attachment 1741706
Kwa huyu inawezekana ni pigo kutoka kwa Mungu kwasababu ni Kanjanja.

WALAKINI, Kwa watumishi sahihi wa Mungu hilo linaitwa ''JARIBU''

Mwl. Christopher Mwakasege alipata taarifa kuwa kijana wake amefariki, wakati yeye akiwa katikakati ya Ibada jukwaani katika mkutano mkubwa. Mwl. Mwakasege hakuacha ibada ila aliendelea kuwaombea wengine na mpaka ibada ilipoisha akafunga mkutano na kuondoka kuelekea hospitalini au Mochwari.

Alipokuja kuhojiwa kuwa alijisikiaje baada ya kupata taarifa akasema ni mipango ya Mungu na shetani alitaka kumjaribu kwa kumpima kama ataacha kufanya kazi aliyoagizwa na Mungu muda ule au lah, akasema lile ni Jaribu

Btw, kila Binadamu ana jaribu lake chini ya jua.
 
Mtoto wa Major 1 alie fariki wiki hii Nairobi nchini Kenya aliko kuwa akitibiwa kwa muda mrefu, ameugua muda kitambo na hadi kupelekwa Kenya kwa matibabu.

Ninacho jiuliza kila siku Nabii huwa anaombea Maelfu kwa Maelfu ya Watu hasa Wagonjwa, kuna wanao safiri kumfuata na wengine online pia.

Nabii ilishindikana kumuombea mtoto wake hadi kupelekwa nje ya nchi kwa matibabu?

Some time kuna Ujumbe Mungu anatuma kwa wafuasi wa hawa Manabii.

By the way RIP Mtoto Israela.View attachment 1741705View attachment 1741706
Utaambiwa bwana ametenda
 
Ninacho jiuliza kila siku Nabii huwa anaombea Maelfu kwa Maelfu ya Watu hasa Wagonjwa, kuna wanao safiri kumfuata na wengine online pia.
Hata mimi naombea watu chaajabu nini.

Hapa kuna uhusiano gani yeye kuwaombea hao maelfu na mwanawe kufariki.....Mungu anataka tumuombe hajarishi kajibu hajajibu.

Sijui mambo mengine kumuhu jamaa, kilichoandikwa hapo si sahihi.
 
Back
Top Bottom