Tunajifunza nini kutokana na "uamuzi" wa dada yetu Wema?

mfungwa

JF-Expert Member
May 23, 2015
1,291
341
Kila tukio katika maisha mara nyingi linafundisho. Ila ukitaka kuacha kufuatilia fundisho basi utakubali na kusema sitaki kuangalia upande huo. Lakini ni kweli tukio hili linafundisho kubwa
1. Kwa jamii, jamii inaingiaje hapa;
Ukiangalia Comments nyingi zipo zimelala katika sehemu ya wale wanao support na wale wanao mpinga kwa kitendo chake alichokifanya. Hapo ndipo Utakuta kumbe jamii ya sasa imegawanyika katika vyama. Sasa ukitreat hili suala katika issue ya vyama tutakuwa tunajiondoa kuwa wana jamii. Na hatimae tunaweza kusema jamii kwa ujumla ni watanzania walio wamoja lakini kwa sasa hawako tena wamoja sababu ya maslahi aidha ya kiitikadi nk. Unakuta Tanzania ya leo sio moja tena. .............................................
2. Hilo la juu linazaa uvyama
U CCM na U CHADEMA
Hapa kila mtu ataleta sasa lake.
Tukiacha yote tukienda kwenye history huyu mdada upande alikolelewa kiitikadi walimuacha.............
 
Hayo ni maamuzi yake binafsi hapaswi kuingiliwa na MTU, pia vyama kwa sasa imekuwa maficho ya waharifu ili wapate watetezi,.

Back
Top Bottom