Elections 2010 Tunajifunza nini juu ya ucheleweshwaji wa motekeo na athari zake??

marshal

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
353
157
Kulingana na mwenendo wa matokeo ya kura za uachaguzi wa majimboni na ya uraisi,kuna kila namna ya sababu kulaumu juu ya ucheleweshwaji wa makusudi wa matokeo ya majumusiho majimboni.ukweli ni kuwa sehemu zote ambazo ccm wamefanya vizuri hakuna kisingizio cha jiografia ama wingi wa vituo.hii inaleta hamaki kwa wananchi hasa kwa kuwa ukweli matokeo ya vituo wanayo kwa hiyo wanahitaji kusikia matokeo. Siasa za kulazimishana na kuchaguliana watawala hazina nafasi,nashangaa kwa nini watu hawawezi kutambua kuwa hakuna aliezaliwa kumwongoza mtu fulani,tuwacheni kusababisha vurugu kwa sababu za kutaka kubadili matokeo!!
 
Watanzania hatuna kitu kama Lessons Learn, wameshaona madhala ya kuchelewesha matokeo katika majimbo ya Mbeya Mjini na kwingine lakini bado wanashikilia maagizo ya kutoka kwa wakubwa wasioipendea mema Tanzania na kuendelea na mchezo wao mbaya.
 
Back
Top Bottom