Poa poa mkuuKaa nae mwezi mmoja, bandika bandua, kuanzia pale inapo kauka ..
Kama ninavyo kusubiri weweWewe ni he/she?
Kama ni he... nakushauri uache ujinga, wanaume hawazai na wapenzi wao bali na wake zao.
Muoe uone kama haitanasa....
True apate ushauri mubasharaWahi ukakutane na daktari wa wanawake katika hospital iliyo karibu nawe.
Laiti ungejua navomwombea mabaya mchina wetu...Kama ninavyo kusubiri wewe
P2 ndonini tenaSijui nianzid wapi.
Usijekuwa unahangaika kutia na kumwava mwenzio anakunywe p2 wewe huna habari.
Duuu sasa kazi ya bure iyo rakini jitahidi kukuruka mwananguSijui nianzid wapi.
Usijekuwa unahangaika kutia na kumwava mwenzio anakunywe p2 wewe huna habari.
Mwambie ajaribu kutumia lile jan letu wengi wamefanikishaMpenzi wangu tumepanga nimpe mimba lakini tukifuata zile tarehe mimba hainasi. Badala yake tarehe zinabadilikabadilika.
Nishaurini nifanye nini au nitumie njia gani maana mwenyewe nakuwa naye kwa kumbahatisha
Jani gani mkuu fafanue silijui iloMwambie ajaribu kutumia lile jan letu wengi wamefanikisha
Jani gani mkuu fafanue silijui ilo