Tunajadili kwa umakini Ushoga Nchini- Protecting Minority Rights & Democracy!

DALA

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,212
4,517
Salaam wana JF,

Mimi ni mmoja kati ya vijana wapatao 17 wanaohudhuria mkutano wa vijana hapa kwenye ukumbi wa mkutano wa Twaweza-kinondoni.

Huu mkutano ni wa maandalizi wa mkutano mkubwa wa kimataifa utakaofanyika hapa Tanzania soon kuhusiana na violance miongoni mwa vijana na umeandaliwa na shirika linalojulikana kama Open Society. Kwa karibu sana nimekuja kuhundua kwamba mjadala unawatetea ushoga na usenge kama minorities na wanaiandaa jamii kisaikologia kuukubali kwa unyenyekevi sanaili kusiwepo na upingwaji wa vitendo hivi.

Ninaamini kwamba hawa jamaa lengo lao kubwamni hilo.

Nitawajuza,kadiri muda unabyokeenda!
 
Ninahakika huu mjadala utakuwa mgumu sana. Ni kweli wapo minorite. Ila sheria za nchi hazijambagua mtu wa kwenye kundi hilo asipewe haki yake kama raia wengine, tatizo tunaloliona hapo ni kama wanataka ku-promote hiyo kitu ambayo hata kuiandika inakuwa ngumu kidogo.
 
Lazima uwe mgumu...kwa sababu nadhani hata kikatiba mtu hakatazwi kuwa ******...si ndo uhuru wenyewe bana...!?
 
MODs, naomba mbadilishe hiyo heading iwe; Tujadili mahusiano ya watu wa jinsia moja nchini.

Maneno yaliyotumika yanavuka threashhold ya ustaarab.
 
MODs, naomba mbadilishe hiyo heading iwe; Tujadili mahusiano ya watu wa jinsia moja nchini.

Maneno yaliyotumika yanavuka threashhold ya ustaarab.
Acha unafki mkuu, usenge hata kwenye Biblia wameandikwa kama neno lilivyo. ni kwa nini mnapenda sana kufichaficha hata vitu dhahiri? au wewe chumvi usiku unaiita dawa ya jiko?
 
Endelea kutujuza kitakachokuwa kinaendelea. Hata bila ushawishi msimamo uko wazi, mambo ya ushoga si ya kuyakaribisha katika jamii yetu.
 
Salaam wana JF,

Mimi ni mmoja kati ya vijana wapatao 17 wanaohudhuria mkutano wa vijana hapa kwenye ukumbi wa mkutano wa Twaweza-kinondoni.

Huu mkutano ni wa maandalizi wa mkutano mkubwa wa kimataifa utakaofanyika hapa Tanzania soon kuhusiana na violance miongoni mwa vijana na umeandaliwa na shirika linalojulikana kama Open Society. Kwa karibu sana nimekuja kuhundua kwamba mjadala unawatetea ushoga na usenge kama minorities na wanaiandaa jamii kisaikologia kuukubali kwa unyenyekevi sanaili kusiwepo na upingwaji wa vitendo hivi.

Ninaamini kwamba hawa jamaa lengo lao kubwamni hilo.

Nitawajuza,kadiri muda unabyokeenda!

Mahusiano ya jinsia moja ni upuuzi mtupu.

-Natambua haki za wale waliozaliwa wakiwa na maumbile ya tabia hizo na kuheshimu mapungufu yao.Watu hao tunao katika jamii yetu
-Pia kuna wale walioharibiwa wakiwa katika umri mdogo ningependekeza njia za kisaikolojia na rehabilitation programmes kwa ajili yao badala ya kuhalalisha tabia hii.Je,tuhalalishe uteja kwa kuwa mtu amekua teja muda mrefu?Je tufungue mjadala wa kuruhusu wizi kwakuwa mtu amezoea au amekuwa exposed kwenye mazingira ya wizi tangu utotoni?

-Hao wanaoendekeza tabia hii kama fasheni na u-modern ningekuwa na uwezo ni jela tu sambamba na mafisadi.Uchafu mtupu ambao hata wanyama hawawezi kuufanya.Achilia mbali hilo kwanza kuujadili jinsi ya kuhalalisha ningewakamata wote hao vinginevyo wahame nchi.
-Siwezi kuwa commander-in-chief kuongoza jeshi lenye elements hizi(coz hata wanajeshi wataruhusiwa).
Hizi ni haki za binadamu au za shetani?si utamaduni wa Africa
 
Mods wanakuwa carried away na mvinyo wa mitaani, ndio maana misamiati mingi ya kiswahili fasaha haitumiki hapa nchini...

Wakenya wanaongea kiswahili fasaha zaidi na rasmi kuliko sisi kwa kuficha ficha na kuogopa tafsiri ambazo sio rasmi....

Tunataka kulazimisha matumizi ya neno "ushoga" wakati huo sio msamiati stahili kwa kueleza tabia ya
#usenge .....

Ni kweli, kwa kuficha hayo maneno ni kufinya mjadala na kupoteza maana.
 
'HOMOSEXUAL IS A CRIME AGAINST HUMANITY' basi hata makosa mengine dhidi ya ubinadam tujifunze kuyavumilia...
 
MODs, naomba mbadilishe hiyo heading iwe; Tujadili mahusiano ya watu wa jinsia moja nchini.

Maneno yaliyotumika yanavuka threashhold ya ustaarab.

Kumbe nyinyi ndio mnaokifunga kiswahili magurumu ya kukirudisha nyuma uh.....

Hivi BBc wanapojaligi haya masuala huwa wanatumia msamiati gani??

Kwanini lugha yetu itutese kwaajili ya wapuuzi wachache wanaoweka maana zao zisizorasmi??

Na hapo bado kiswahili chetu kina misamiati michache inayotumika kilasiku na bado tupo busy kukinyima misamiati zaidi na kuweka lugha za mizunguko bila maana.
 
Back
Top Bottom