Tunaitoaje CCM madarakani?

I think the issue of changing the constitution was a good idea which directs the opponents where to start
 
Tutatengeneza katiba mpya hii itatusaidia wakibolonga CHADEMA nao tutawatoa. Kwani uimara wa chama ni nini?ni Fedha. Tutachanga. Chama kimekaa madarakani miaka karibia 40 kitaacha kuwa imara?
Acha ujinga jomba..hivi unaamini chademaa ni chama kile...?? Hahhaha wewe kama unataka kukopa wahi kule mzee kabla fweza hazijaisha..wanakopesha magari, ma vx, etc..hahahaha...wakati hata ofisi hawana..Hivi wakikimbia na pesa za walipa kodi utawapatia wapi...acha kufanya mchezo na mambo serious ya nchi wewe...na usirudie tena kuleta haya madudu..piga kazi uinue uchumi wako. Acha kuwatafutia wenzio mwanya wa kula..
 
I think the issue of changing the constitution! ! as a good idea which directs the opponents where to start
What is constitution by the way.? Can the cnstitution manage itself..? Its just words on the paper !fulstop..! Somebody somewhere must be present to lead through..its nonsense..take an example of China..do you know how their constitution is!?! And how is it applied..to them its rubbish..and this is why they have managed to excel...big time..! Managed to make Tremendous changes in their economy! Can u compare with ours..?? How many political parties do you know are there...and how are they practicing what u call democracy..tuacheni mambo ya kudanganywa na wazungu eti sisi ndio tunayafuata kama vile tunayajua saaaaaana kuliko wao walioyaanzisha...thes guys are laughing at us..we look like fools..no wonder Trump just the other day called us S.h.it.h.o.les
 
Ivi mm niulize kipi ni bora kutoenda kabisa kupiga kura au kwenda kupiga nimeuliza ivi ili tuwekane sawa mwaka uliopita Wa uchaguzi watu wakijitokeza kwa wingi Sana lkn mwisho wake ni matokeo kuchakachuliwa na ccm ikashinda mm naona bora kutokwenda kwani hata tukienda bado uwezo wa kulinda kula haupo
Mie huwa naamka mapema naangalia kwenye tv watu wakipanga foleni ya kupiga kura.
 
Mkuu ni hivi sio wakati mwingine, mahali popote ccm ilipo na ushindani wa kweli ni lazima ifanye hujuma na sasa ni za wazi. Na iwapo ingekuwa inategemea kushinda kihalali tu, leo hii isingekuwepo kwani vizazi vimebadilika, hilo moja. Na sasa hivi chini ya Magu ndio kabisa ccm inafanya hujuma za wazi kwenye box la kura.
Haya ninayokumbia sijahadithiwa bali nayaona kwa macho. Hiki kinachofanyika kwa sasa sio rafu kama tulizozoea huko nyuma bali ni ushenzi na ukatili. Sasa hivi watu wanafanyiwa ukatili wa wazi, na ni lazima kumtangaza mgombea wa ccm hata kama ameshindwa kwa uwiano mkubwa wa kura. Hapo achia mbali ukiukwaji mkubwa wa sheria toka kwa wasimamizi wa uchaguzi. Yaani sasa hivi kwenda kupiga kura ni kupoteza muda kwa yale yanayofanyika kwenye box la kura.
Nguvu pekee ya ccm ni madaraka ya mwenyekiti wa ccm anayoyapata kupitia katiba yenye mapungufu ambaye mara nyingi ni rais. Rais wetu kupitia katiba hii anapata nguvu kubwa ambayo imemlimbikizia madaraka ikiwemo kuwa juu ya vyombo vya dola na sheria. Hapa anaweza kuagiza chochote hata kilicho nje ya katiba na kikafanyika. Amri hizo za nje ya sheria na katiba huitwa amri toka juu, amri hii toka juu ina nguvu kuliko sheria na katiba, na yote haya yanachangiwa na mapungufu ya katiba iliyopo. Hapa tu ndipo ilipo nguvu ya ccm na sio Zaidi. Nasisitiza iwapo ccm italogwa ikakubali kushiriki uchaguzi huru na haki huku ikitegemea kushinda kihalali, ndani ya 10yrs rais hatatoka ccm. Na hata wao hilo wanalijua.
Poa mkuu asante kwa mahubiri.
 
Ili kitawale chama gani sasa,wewe unapatapata hata kamwanga kidogo juu ya chama kizuri cha upinzani hapa nyumbani? Au vitengenezwe vingine fasta? Mana Mimi nikiwazaga tu vyama vya upinzani vilivyo na sarakasi za hatari huwa naishiwa pumzi. Wanasiasa niliopata kuwaamini mwisho Wa siku wakafanya mambo yalonikatisha tamaa sana hasa ninapofikiria kiundani!
chama sio hoja hoja ni wananchi kutawala yaani hata ukiweza mjinga kama msukuma ila akiwa anajuwa kuwa amewekwa na wananchi na sio tume na police lazima atafata sheria.
 
Vijana ni taifa LA Leo siyo kila anayeweza kuongoza hivi sasa alipitia CCM, jiulize tu tangu kuanza vyama Vingi ni muda gani umepita ,ni umli wa MTU mzima ?,wapo walio katika siasa hawajawai pitia ccm na ni viongozi wazuri.

Lazima ccm iliwasomesha na inaendelea kuwasomesha kwani ndicho chama tawala tangu Uhuru .

Swali;

Ambaye hajapitia ccm namna gani ? Hajasomeshwa ama hajawa mwanacham wa ccm ?
Tanzania ilikuwa nchi ya chama kimoja na usingeweza kupata elimu ya juu bila kupitia CCM, sasa ni nani unayeweza kumpata ambaye hakupitia CCM?
 
Back
Top Bottom