Tunahitaji watu wazima 4 wenye tatizo sugu la athma tutawatibu bure

Msije mkawa mnataka mfanye utafiti dawa yenu kwa hao watu bila kujua side effect watakayoipata!!
 
Mkuu mm mgonjwa wa pumu siku nying sana yan nshatumia mpaka dawa za kimasai lkn wap...so sasaiv ikinibana nakula tu salbultamol then nakausha........yan nimekuwa mtu wa kuteseka sana...kias kwamba hata kipaji changu cha mpra kimekufa kisa huu ugomjwa wa pumu

Bt anyway wacha nijarb kuwachek

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana mkuu!mie hata sabutamol imefail!najifungiaga chumban nalia kwa hasira!huwa nataman niondoke tu dunian!ugonjwa mby sana huu!nimejichukia kweli kweli
 
me nadhan zote zinafanana!pneumonia wanadai ni barid ya mapafu!na pumu ni humo humo!huenda ma Dk waje watupe utofaut! wewe huwa inakushikaje!mie huwa nakohoa tu 24/7/365!tena kile kikavuuu km umepaliwa na pilipili!then navimba uso
 
Back
Top Bottom