Tunahitaji wasichana wa 3 wa kufanya kazi ya mpesa na tgo, pesa haraka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunahitaji wasichana wa 3 wa kufanya kazi ya mpesa na tgo, pesa haraka.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kelvinkipeta, Oct 20, 2012.

 1. k

  kelvinkipeta Senior Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 109
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kay dee investment
  po box 45097
  temeke
  dar es salaam

  wanahitajika wasichana watatu wenye umri usiozidi miaka 25 kwa ajili ya kutoa huduma ya mpesa na tigo pesa.
  Sifa;
  1.awe msichana.
  2.awe ana umri usiozidi miaka 25.
  3.awe na uzoefu wa kutoa huduma ya mpesa,tigo pesa,air tel money etc
  4.awe na uwezo wa kufanya kazi kuanzia saa mbili asubuhi mppaka saa 3 usiku.
  5.awe anaishi wilaya ya temeke,jijini dar es salaam
  tuma maombi yako kwa;

  managing director
  kay dee investment
  po box 45097
  temeke
  dar es salaam
  simu;
  07131090999
  0758109099
  0788109099
  MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI TAREHE 24.10.2012
   
 2. Anita Baby

  Anita Baby JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 1,198
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 180
  Mshahara bei gan?
   
 3. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,334
  Likes Received: 2,332
  Trophy Points: 280
  Why msichana
   
Loading...