Tunahitaji wafanyakazi wa kutoa huduma ya m-pesa.

kelvinkipeta

Senior Member
Feb 17, 2012
108
11
IMEFUNGULIWA OFFICE YA KISASA YA M-PESA HAPA TEMEKE JIJINI DSM.TUNAHITAJI WAFANYAKAZI HODARI WENYE UZOEFU WA KAZI NA WALIO MAKINI NA KAZI.

SIFA ZA MWOMBAJI
1.AWE MSICHANA WA MIAK KATI YA 18 MPAKA 25.
2.AWE ANAJUA JAPO KIINGEREZA CHA KAWAIDA TU.
3.AWE MWAMINIFU

MAWASILIANO
KAYD INVESTMENT
PO BOX 45097
TEMEKE
DAR ES SALAAM

EMAIL:kelvinvitus@ymail.com
mob;0713109099/0758109099

N;B DEAD LINE;30/3/2012
ONLY SHORT LISTED APPLICANTS WILL BE CONTACTED.
TUMA MAOMBI KUPITIA email adress hiyo hapo juu ukiambatanisha CV YAKO PAMOJA NA COPY ZA VYETI.
 
imefunguliwa office ya kisasa ya m-pesa hapa jijini dsm.tunahitaji wafanyakazi hodari wenye uzoefu wa kazi na walio makini na kazi.sifa za mwombaji
1.awe msichana wa miak kati ya 18 mpaka 25
2.awe anajua japo kiingereza cha kawaida tu.
3.awe mwaminifu
mawasiliano

kayd investment
po box 45097
dar es salaam

email:kelvinvitus@ymail.com
mob;0713109099/0758109099
vijana wa kiume hauwahitaji? Hii ajira ya bias, haya bhana kila la kheri na hao mabinti
 
mi sifa zote ninazo na umakini pia ila uzoefu wa hyo kazi sina ila natumai nitajifunza na kuwa hodari....sasa sijajua hyo ofisi iko maeneo gani?na mshahara ni sh. ngapi?
 
mi sifa zote ninazo na umakini pia ila uzoefu wa hyo kazi sina ila natumai nitajifunza na kuwa hodari....sasa sijajua hyo ofisi iko maeneo gani?na mshahara ni sh. ngapi?

Sasa mtu amekuwekea email na namba za simu unashindwa kupiga au kutuma email unabaki kupiga kelele hapa ili iweje??
 
Back
Top Bottom