"Tunahitaji viongozi majasiri" - Dr. Salim on KLH News

ha ha ha ! Naomba lyrics za verse angalau moja ya mdundiko basi..

SteveD.

ha ha ha ha....

nitakutumia kwenye PM si unajua tena mambo ya hatimiliki na haters.......

Kwa ukweli, sina tatizo lolote na bolingo za Mkjj si unajua tena niliamua kuwa .....
 
Naomba nitoe shukrani tena kwa Dr. Salim..... kwa kweli sikutegemea kama angekaa muda wote huu kusubiria mahojiano na KLH ukichukulia bongo sasa hivi ni usiku.

Kwa kweli nimepata sababu nyingine ya kumuheshimu Dr Salim.

Mazee Geeque........ big ups! again
 
ha ha ha ha....

nitakutumia kwenye PM si unajua tena mambo ya hatimiliki na haters.......

Kwa ukweli, sina tatizo lolote na bolingo za Mkjj si unajua tena niliamua kuwa .....

Pooa, najua unazipenda one way or another, i was only pulling ya leg, lol
Talk to you soon.

NB: I'll be waiting for my lyrics! :)

SteveD.
 
Karibuni nyote, miye naenda kufungua kibuyu cha togwa yangu, nimeizindika toka 2001! Sasa iko 'premium', yaaaaaaaaani.. Mate yanabubujika ....karibuni nyote!! :)

SteveD.
 
Naona mkaribishana wenyewe.. au sisi wengine ndiyo wakaidi ambao hufaidi mpaka siku ya idi?
 
Mzee Mwanakijiji

Haya mahojiano nimeyakosa nategemea kesho kuyapata kwenye radio yako ya KLH news. Unajua tena jumapili mambo mengi kidogo.
 
Mwanakijiji,

Sijui kama kuna mtu tayari amekujulisha, maana baada ya kusikiliza mahojiano ilibidi nikimbie sehemu kwanza. Siku hizi TZ sikukuu ikiwa weekend hakuna kupeleka mapumziko Jumatatu. Hayo yalikuwa ya Mwinyi na Mkapa alishaifuta sheria hiyo.
 
Mtanzania ndio maana nilihisi kama kuna kitu hakiko sawa.. sikuwa na uhakika kama sheria hiyo bado ipo ila kuna mtu baada ya show aliniambia sheria hiyo haipo tena.
 
Mwanakijiji,

Jana uliahidi kuwa utamwalika Dr Salim tena kijijini soon. Je amekubali kurudi tena ili aongelee mambo mengine?
 
bado nitasubiri kidogo... ila kwa walio miss mahojiano yangu na Dr. Salim sasa hivi yako online uncut, and unedited... kwa wale walioko nyumbani yatatokea kwenye mojawapo ya magazeti nyumbmani sometime later this week.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom