TUNAHITAJI UMOJA WA KITAIFA

gimanini

JF-Expert Member
Jun 20, 2015
1,741
1,754
Siku zote umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu,hivi sasa nchini mwetu pana mgogoro wa kisiasa baina ya serikali na vya upinzani.ni hakika tumetoka mbali na tunahitaji hekima na busara ya viongozi wetu,bila ya kuwasahau wazee wetu kutatua migogoro iliyopo sasa,kwan ili tupate maendeleo ni lazma pawepo na mahusiano mema ndani ya jamii zetu.
 
Kwa hawa chagadema, huo umoja wa kitaifa ni ngumu, yaani wanajitahidi kila mbinu kuifanya nchi hisitawalike, wangekuwa Rwanda hawa yaani sijui ingekuwaje
 
Back
Top Bottom