Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 5,707
- 11,951
Mimi nadhani tuweke sheria maalumu ambayo itakaziwa sana na itasimamiwa vikali na kwa nguvu na serikali.
Ikigundulika mwanamke au mwanaume anasaliti eneo la kazi na ushahidi upo wa kutosha then mume au mke halali wa muhusika akafungue mashitaka katika mahakamani maalumu ya ustawi wa jamii ambayo itaanzishwa kwa mujibu wa sheria na itambulike kama chombo cha ustwi wa jamii.
Kwanza alipwe fidia isiyopungua milioni 5 au zaidi kwa damage aliyosababishiwa kihisia kwa kudhalilishwa halafu kesi isomwe na ushahidi utolewe kisha barua maalumu itolewe mahakamani kusimamisha maramoja mkataba wa kazi kwa masilahi mapana na ustawi wajamii yetu, kulinda ndoa na watoto. Na zaidi iwe kwamba mhusika kama alikuwa ni muajiriwa wa serikali basi ameshajivua nafasi yake na vyeo vyake vyote na hatoruhusiwa kuomba kazi ofisi yoyote ya serikali labda huko kwenye taasisi au mashirika binafsi.
Tukifanya hivi tuweza kwanza kudhibiti viburi vya wanawake ambao wakisha pata tu kazi na kuanza kuona mshahara wa kwanza idea ya kwanza ni kumletea mume wake dharau na kumkosea adabu ikiwamo kuanzisha mahusiano maeneo ya kazi.
Pili itasaidia kudhibiti tabia za Wanaume maeneo ya kazi kusarandia wake za watu, na kuacha majukumu ya kazi. Unakuta unaingia Kwenye ofisi secretary anadharau na viburi kujibu watu hovyo sababu anajua hakuna wa kumfanya lolote maana ana mahusiano na boss wake na anaona ofisi ya uma kama mali ya familia.
Tusiogope kuweka sheria kama hizi zitasaidia sana kupunguza mifarakano kwenye ndoa na kulinda sana familia maana kuna muda mwanaume anaona tu ngoja avumilie upumbavu wa mkewe sababu kapata kazi mpya na hakuna taasisi wala mamlaka ya kumtetea au kumdhibiti mkewe.
Na kuna wanawake wanahangaika wanaume zao wamepandishwa vyeo makazini wanaruka na wafanyakazi wengine hadi wanawaletea magonjwa majumbani sababu ya umalaya.