Tunahitaji masaa 25 ya kupiga kura! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunahitaji masaa 25 ya kupiga kura!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by cabhatica, Oct 27, 2010.

 1. cabhatica

  cabhatica JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 1,074
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Kama kituo kina wapiga kura 500. Kila mpiga kura atahitaji si chini ya dakika tatu (3) kuingia kwenye chumba kupiga kura na kutoka ( kwa uzoefu wangu wapo wanaochukuwa hata dakika kumi).

  Hisabati inaniambia watu 500 x dakika 3=1500(dakika)
  dakika 1500/60 = masaa 25.

  Wana JF hivi tume imetoa siku ngapi kupiga kura?

  NJOONI TUSEMEZANE!!!!!?????
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  hivi chumba kinakuwa kimoja?
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,071
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  jumapili kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa kumi jioni ukienda saa kumi na dakika moja umechelewa hauruhusiwi kupiga kura
   
 4. A

  Audax JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  only 1 day, n not even 12 hrs i think, anyway we have to be fast anyway.
   
 5. M

  Mutu JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  vyumba viwe vingi tu ,ila kama chumba kimoja hoja yako ya msingi
   
 6. Companero

  Companero Platinum Member

  #6
  Oct 27, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Watu 500 mara chumba 1 mara dakika 1 = Dakika 500

  Dakika 500 gawanya Dakika 60 = Takribani masaa 8

  Saa 10 Alasiri toa Saa 2 Asubuhi = Masa 8
   
 7. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  chumba kimoja lakini meza kibao, watu zaidi ya mmoja wanaweza kupiga kura kwa wakati mmoja. Kukiwa na meza 10 kwa mfano, watu kumi dakika 3, zitahitajika dakika 150 (masaa 2 na dakika 30) kupigisha kura watu 500.
   
 8. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Kila kituo wanaingia watu wawili hadi watatu kwa pamoja kupiga kura.
   
Loading...